Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa we waleta picha ambazo zilipigwa wakati Barbara ilikuwa imeharibiwa na mvua umaanishe nini?? Sasa hivi hii barabara iko sawa kabsa,hawkers walitolewa jijini kitambo,,
hahahaha kawadanganye watoto, you can never escape from reality and that is the reality of nairobians. It's not skyscrapers, Versace, Chanel and Dior, unemployment kubwa imejaa, inflation, hunger, insecurity, high crime rate. Yaani foreigners na rich people ndo wanaishi kwa raha kenya sio vinginevyo
 
Usa hawana vitu substandard kama hivi,
Hii ndio USA jaribu kujionea aibu
houston_highway.jpg
 
Majumba haya marefu wakimalizika kujengwa yatakuwa na hoteli,malls,offices,, na hivyo divyo yatasaidia wananchi kwakuwa watapata kazi humo
Hahahahaha, Kenya uchumi wake hutegemea KILIMO, Communication sector, manufacturing, and Financial sector, huko kwengine ni kujidanganya tu.
 
Back
Top Bottom