Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

5a133852-f1f3-4446-8100-8d137e28adfa.jpg
 
Ikiwa binadamu wenzao hawajui kuwajali hao mbwa itakuaje 👇👇👇👇👇

 
Yani ku sign sio kujenga tofautisha vitu viwili hapo unaeza ku sign na pesa usipewe pia so usitudanganye kua mushaanza ujenzi wa BRT never ever sio leo wala kesho 😂😂😂😂

Pesa ya kulipa manesi hamuna hio ya kujenga mutatoa wapi????😆😆😆

Unafkiri ujenzi wa BRT ni kama kula skumawiki mulikuja na pupa mukapoteza pesa za taxpayers kuchora barabara😆😆👇👇
20DDE5BB-34B1-4BA1-8437-DAE3FEF5B597.jpeg
 
Back
Top Bottom