thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Km 100 siyo mchezo!! Hii niya kwanza E.A. Kati kati inabidi waache space kwa ajili ya matumizi ya baadae.
Dodoma baby, ring roads and interchange zimo ndani
Km 100 siyo mchezo!! Hii niya kwanza E.A. Kati kati inabidi waache space kwa ajili ya matumizi ya baadae.
Dodoma baby, ring roads and interchange zimo ndani
Huku kunatufaa zaidi sisi wapenda rally
Dodoma baby, ring roads and interchange zimo ndani
👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇
Dodoma baby, ring roads and interchange zimo ndani
👏👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇
Dodoma baby, ring roads and interchange zimo ndani
🔥🔥🔥🔥🔥🚍🚍🚍 Wengine ahadi hewa waliodanganywa na mchina juzi wameshaanza kuota kwamba BRT tayari ipo under construction. 😁😁😁
Nimecheka sana yani ku sign anafkiri kupewa pesa 😆😆😆😆😆🔥🔥🔥🔥🔥🚍🚍🚍 Wengine ahadi hewa waliodanganywa na mchina juzi wameshaanza kuota kwamba BRT tayari ipo under construction. 😁😁😁
😁😁😁😁😁Nimecheka sana yani ku sign anafkiri kupewa pesa 😆😆😆😆😆
Kariakoo mtaa wa lumumba na Livingstone umeshona vizur sana...
👏👏👏👏👏Kariakoo mtaa wa lumumba na Livingstone umeshona vizur sana...
Ubungo stand sikulikua na mpango wa kujenga mall, au hiko kituo kitakua kwa pembeni.