ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,064
- 3,216
Hawatamsahau mchina milele kawavisha jongoo. Reli imeishia porini alafu aliwafumba macho akachanganya mkataba SGR na bandari ya Mombasa, majuto ni mjukuu na janja ya mchina ni bandari tu anayotakaniletee ya kwetu inayotoa moshi hapa niione, hiyo ni illustration kuwa treni mlizopurchase ni za kizamani na ni low quality
View attachment 1084036

