Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Financer wa BRT phase 3 and 4 ni world bank na inajulikana nashangaa kwann hawa fast track ujenzi wa awamu zote uende kwa mpigo?....Tunapangua moja baada ya lingine...
Mradi wa brt awamu zinazofuata unaambatana na flyovers kadhaa Yaani suala ya flyovers linajikata lenyewe...huu mwaka hautaisha awamu ya tatu itatangazwa alieshinda zabuni...
Awamu zote wamepanga ziishe 2030 awamu 6 ambazo zinacover 90% ya city pop
Kuhusu phase 5 na 6 tutasubiria sana mkuu ..maana financer bado hajajukikana na ni unkikely akwa GOT kwa sasa hiv