ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,065
- 3,217
Sgr Kenya Kwisha Habari, watuache tupambane na mbuga kuunganisha maziwa makuukweli mkuu na hii hutokea pale unapolazimisha urafiki
View attachment 1082911
Sgr Kenya Kwisha Habari, watuache tupambane na mbuga kuunganisha maziwa makuukweli mkuu na hii hutokea pale unapolazimisha urafiki
View attachment 1082911
Mimi nawashangaa sana..ndo maana nasemaga hayo mashamba ya maua sio ya kwao ..ni wazungu...mwafrika utalimaje maua .hauna chakulaBonge la gap!! wako level moja na Burundi, wanajitapa kwa kulima maua huku hawana chakula.
Nimecheka sana aisee😆😆😆👇👇👇👇
Ahsante mkuu kwa ufafanuziWalichokifanya ni kubadilisha namba mbili kuwa namba moja na moja kuwa mbili. Hii ni sahihi zaidi kwa kuwa inapunguza barababara za miinuko za pembeni zisizokuwa na msingi.
Another hidden treasure many people do not know about. Hiking in the Usambaras is Oscar worthyUsambara Mountains Range ♥ Tanga
View attachment 1083216View attachment 1083217View attachment 1083218View attachment 1083219
Sawa mkuuYeah, wamehamisha junctions zilizotakiwa kuwa kati wakaziweka chini kuepusha ajali. So wanaopita kati na juu ni kunyooka moja kwa moja.
Tukiacha maneno mengiHata meter gauge wamepewa mkopo, hatari sana, pesa zao za kodi zaenda wapi jamani


.

Another hidden treasure many people do not know about. Hiking in the Usambaras is Oscar worthy
Ha ha haaa, hawa jamaa wanachekesha,, mkopo mdogo kama huu ndo wamefunga safari viongozi wote wakuu wa Kitaifa wakiwemo wapinzani kwenda China,,wakati Tz mkopo kama huu makubaliano yangekamilishiwa Ikulu ya magogoni.!Tukiacha maneno mengi.
Hivi ile 900bln wangemuomba hata JPM si angewapa kiroho safi tu![]()



Walifunga sababu ya 8trn,ika bounce.Ha ha haaa, hawa jamaa wanachekesha,, mkopo mdogo kama huu ndo wamefunga safari viongozi wote wakuu wa Kitaifa wakiwemo wapinzani kwenda China,,wakati Tz mkopo kama huu makubaliano yangekamilishiwa Ikulu ya magogoni.!
![]()
Aslo known as homa kwa wakenya, mi nashuhudia tuMwaka huu miba mikali ni JNIA T3, SGR awamu ya kwanza ,
Wakati jikoni tayari kuna BRT Sec phase,Salender bridge,Kimara-Kibaha highway,Ubungo interchange
Tunapangua moja baada ya lingine...Aslo known as homa kwa wakenya, mi nashuhudia tu