Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha wakenya wabaki na GDP zao
D4-mxBzW0AA18Ze.jpeg
 
Niliangalia Live kutokea Malawi. Dah!! Hakika wamalawi wako nyuma sana. Police wao wanyonge kweli wanafanana na wa kenya.
Huwezi kujua uzuri wa Tanzania mpaka uone nchi zingine za Afrika zikoje na hii ndiyo sababu ya Tanzania kuwa chini ya kapeti kimataifa. Media zao zinaificha ficha kwa kuwaTz inapingana na zile propaganda zinazosema nchi za Afrika ni hovyo. Mfano ukisikia nchi za Afrika zina njaa, Marais wa Afrika hung'ang'ania madaraka, nchi hazijali utunzaji wa mazingira n.k utaona Tanzania haimo. Sasa huwezi kujua uzuri wetu mpaka uone nchi zingine zilivyo.
 
Huwezi kujua uzuri wa Tanzania mpaka uone nchi zingine za Afrika zikoje na hii ndiyo sababu ya Tanzania kuwa chini ya kapeti kimataifa kwasababu inapingana na zile propaganda zinazosema nchi za Afrika ni hovyo. Mfano ukisikia nchi za Afrika zina njaa, Marais wa Afrika hung'ang'ania madaraka, nchi za Afrika hazijali utunzaji wa mazingira n.k utaona Tanzania haimo. Sasa huwezi kujua mpaka uone nchi zingine zilivyo.
Hata hawa majirani zetu wa Kaskazini wakija Tanzania wanashangaa sana. Nilikuwa na Msichana mmoja kutoka Uganda tulitoka naye Bandarini tukapitia Ocean Road.
Alishangaa nakuanza kusema Mbona Tanzania watu wana magari Mazuri hivi?
Alishangaa kuona kwenye foleni Magari Makali, Mazuri na yanang'aa.
Huko Kenya Mambo siyo hayo ni tofauti Kabisa.
Vijana wa Kenya wakija TZ wanashangaa wanaona yale wanayoyasikia kwenye mtandao ni tofauti.
 
Da, hiyo ya ndege za jeshi nilikuwa sijaiona, Magu anatunisha misuli.
Ulinzi ulitakiwa uwe high 360° profile sababu haya mataifa mawili yalishazinguana kiasi cha kufikia hatua ya kukamata raia wa mwenzie, Malawi walikamata raia wengi wa Tanzania waliokua ziara ya kijamii kwa kuwahisi kama ni double agents on the mission kutoka Tanzania, Tanzania nayo ilikuwa inapitisha vessels zake za kijeshi na aircrafts kwenye anga la Lake Nyasa, so lazima Kiongozi Mkuu wa Nchi anapokua huko tahadhari ni muhimu ukizingatia the matter is not yet solved.
 
Hata hawa majirani zetu wa Kaskazini wakija Tanzania wanashangaa sana. Nilikuwa na Msichana mmoja kutoka Uganda tulitoka naye Bandarini tukapitia Ocean Road.
Alishangaa nakuanza kusema Mbona Tanzania watu wana magari Mazuri hivi?
Alishangaa kuona kwenye foleni Magari Makali, Mazuri na yanang'aa.
Huko Kenya Mambo siyo hayo ni tofauti Kabisa.
Vijana wa Kenya wakija TZ wanashangaa wanaona yale wanayoyasikia kwenye mtandao ni tofauti.
Dar iko poa sana mtu akitoka huko na picha yake ya Afrika ya kipropaganda akifika lazima atastaajabika, magari mazuri ikiwa ni moja wapo. Utakumbuka Wode Maya alivyopagawa kuona jiji lilivyo... Aiya Maya!

Dar pia kana kaustaarabu flani hivi huwezi kukaona afrika mashariki, magharibi na hata kusini mwa Afrika. Ule ubaguzi baguzi wa kimatabaka haupo, ukiacha ule uliowekwa na wakoloni (uhindini, uzunguni). Dar ina "authenticity" fulani ya uafrika huwezi kukuta mji wowote mkubwa Afrika ukiwa hivyo.
 
Kweli kabisa. Huyo Mwanamke nilimpeleka Mlimani City, Danube alichanganyikiwa kweli. akawa anapiga picha kila sehemu.
Ustaarabu wa Dar ni tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom