Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watakao ongoza hizo viwanda ni kina nani kama si sisi, uko na umama,,
So JiKe ulitaka waseme hawataki wakenya wawekeze au? Kama unavyoona tunaimprove chakula na madawa zaidi, usafiri na power, so tutahitaji yeyote kuwekeza. Tofauti ni kwamba wengine wanapambana kuwekeza huku wananchi wanakufa njaa, hamna maji na sasa wanaomba msaada. So we are ready
 
Watakaongoza kwa vile watanzania hawana viwanda sasa kwa taarifa yako watanzania wanaviwanda mpaka china, unaongea nn kunguni wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tena watanzania walivyo na akili, wanafungua viwanda mfano China then wanaweka Center ya kusuply bidhaa zao Kariakoo ili tuzipate kwa bei nzuri
 
Wakenya wenye hasira kali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡








Ichoboy wewe ni Lengendari wa kustopisha fitina za mungiki dhidi ya Tanzania. Natamani wote wanaoaccess quora wangeiona Jamii Forum maana quora ndio mojawapo ya sehemu ambayo mungiki wanaichafua TZ
 
Picha la kutisha
IMG_20190426_184933.jpg
 
Back
Top Bottom