Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mimi nashangaa, wameshindwa kuwasomba wale jamaa wanao zurura Uhuru Park na kuwapa masululu na spana kukarabati reli?
mchina anakupa mkopo, interest juu, na bado anakupa masharti ya kuajiri raia wake kufanya kazi kwenye mradi. Ya nini sasa hiyo, treni wamewapa za 19th century, sgr sio ya umeme na bora hata ingekuwa inaconnect hadi UG, haijafika yaani mi nasema na uzalendo wa rais kujali maslahi ya wananchi wake yanachangia. Magufuli anahakikisha kauwekezaji kokote lazima mtz awepo na hii ni toofauti na majirani zetu, project ifanyike ilimradi tu basi
 
Kuna binadamu humu hujitoa ufahamu na kusema ile walijengewa ni number one China grade🙂
 
mchina anakupa mkopo, interest juu, na bado anakupa masharti ya kuajiri raia wake kufanya kazi kwenye mradi. Ya nini sasa hiyo, treni wamewapa za 19th century, sgr sio ya umeme na bora hata ingekuwa inaconnect hadi UG, haijafika yaani mi nasema na uzalendo wa rais kujali maslahi ya wananchi wake yanachangia. Magufuli anahakikisha kauwekezaji kokote lazima mtz awepo na hii ni toofauti na majirani zetu, project ifanyike ilimradi tu basi
Tatizo wachina wamewajulia ukubwani, sisi tuna uhusiano nao toka 60's.
 
kweli mkuu na hii hutokea pale unapolazimisha urafiki
DiYWm-lXUAACHC_.jpg
 
Back
Top Bottom