Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,229
- 79,536
Actually pale chang'ombe kuelekea Kamata na makutano ya Shaurimoyo kuna underpass ya narrow gauge kuelekea kurasini ambapo sgr itapita pia Pugu industrial area mitaa ya Azania flower milling kuna reli nyingine incase design itabadilika!Treni ya mizigo toka bandarini haipiti kule kwenye eneo la jengo la stesheni kuu, hata hii narrow gauge ya mizigo iliyopo inapotokea badarini hua haiingii moja kwa moja pale jengoni.
Ili kuondoa usumbufu kwa abria pale stesheni na ucheleweshaji wa mizigo, treni ya mizigo ina-shunt moja kwa moja toka bandarini na ku-bypass stesheni kuu, toleo lake litakua mbele kidogo pale viaduct kubwa ya SGR kuingilia stesheni kuu linapoanzia nadhani ni eneo la Mtaa wa Utete. So gogo la mizigo halitapita juu ya lile viaduct kubwa (the 2 km one).
Kwa ujumla SGR toka Dar es salaam kuanzia steheni kuu na eneo la badarini kuelekea nje ya jiji, design inaonyesha kutajengwa jumla ya viaducts 4, ile kubwa ya urefu wa km 2 pamoja na nyingine ndogo ndogo 3, ya mwisho kabisa itakua na urefu wa kama mita 100 hivi.
Ahsante kwa maelezo mdauTreni ya mizigo toka bandarini haipiti kule kwenye eneo la jengo la stesheni kuu, hata hii narrow gauge ya mizigo iliyopo inapotokea badarini hua haiingii moja kwa moja pale jengoni.
Ili kuondoa usumbufu kwa abria pale stesheni na ucheleweshaji wa mizigo, treni ya mizigo ina-shunt moja kwa moja toka bandarini na ku-bypass stesheni kuu, toleo lake litakua mbele kidogo pale viaduct kubwa ya SGR kuingilia stesheni kuu linapoanzia nadhani ni eneo la Mtaa wa Utete. So gogo la mizigo halitapita juu ya lile viaduct kubwa (the 2 km one).
Kwa ujumla SGR toka Dar es salaam kuanzia steheni kuu na eneo la badarini kuelekea nje ya jiji, design inaonyesha kutajengwa jumla ya viaducts 4, ile kubwa ya urefu wa km 2 pamoja na nyingine ndogo ndogo 3, ya mwisho kabisa itakua na urefu wa kama mita 100 hivi.
Egypt naona wako vizurAccording to isaac kamwele Terminal handled a total no of 6.4mil passengers 2.6mil local ,3.8mil foreign ..View attachment 1079159
Si mchezo
According to isaac kamwele Terminal handled a total no of 6.4mil passengers 2.6mil local ,3.8mil foreign ..View attachment 1079159
Aliekudanganya 10m nani???πππ au unatoa data kwenye ndoto zakoBado mko nyuma Sana. JKIA is handling 10 million
Tofauti na stiglers gorge dam ni mradi gani mwingine utaofikisha hayo malengo?
What i like about Tz is that we make our own vessels
Kuna kinyerezi 3 450MWTofauti na stiglers gorge dam ni mradi gani mwingine utaofikisha hayo malengo?