Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kinyerezi 3 450MW
Kuna gas power mtwara 600MW
Kuna kinyerezi 4 600MW

Zipo project nyingi sana ila sijazijua kiundani
Kuna windpower na coal power projects pia

Kuna windpower na coal power projects pia

huu mchakato utaanza lini maana sijapata details ,tujuzane mkuu naona nimepitial lakini sijaona
 
😆😆😆😆😆👇👇👇👇

Kuna windpower na coal power projects pia

Tanesco wamewazngua kibo power wa coal ..sijui kwann
 
Screenshot_2019-04-24-18-15-02.png
 
Lazma rushwa ilipigwa hapo😆😆👇👇👇

😆😆😆😆😆845b ksh hapo bado interest ya mchina amabayo ni commercial loan👇👇👇👇

Alaf 725b ksh loan watu wamekula bila serekali na bunge kujua😂😂😂😂

😆😆😆😆😆845b ksh hapo bado interest ya mchina amabayo ni commercial loan👇👇👇👇

Alaf 725b ksh loan watu wamekula bila serekali na bunge kujua😂😂😂😂

Siasa za Kenya kizungumkuti ilipokuwa inaenda Naivasha jamaa alikenuwa kupiga njuru kuipinga, sasa inaenda Kisumu anaipigia kampeni kuiunga mkono! U know it's our time to eat!
 
Siasa za Kenya kizungumkuti ilipokuwa inaenda Naivasha jamaa alikenuwa kupiga njuru kuipinga, sasa inaenda Kisumu anaipigia kampeni kuiunga mkono! U know it's our time to eat!
Lazma afurahie coz inaenda kwenye ngome yake anajua wajaluo watapata ajira hapo
 
Another mess😂😂😂😂👇👇👇

Back
Top Bottom