Kasarani ndio hii inafananishwa na modern stadium in east and central africa๐๐๐๐
View attachment 1080473
Teh teh teh...Wanakalia Vigoda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamekalia hadi matako yamejiprint[emoji23][emoji23][emoji23]plus ni vigoda tena lolKasarani ndio hii inafananishwa na modern stadium in east and central africa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji38]
View attachment 1080473
Wachina wameshajua mradio huo ni white elephant sasa washaona pesa yap haitarudi hapo๐๐๐๐๐Mtonyo. Bakuli la mtu mbili China larudi TUPU wapewa dili la kuuza maparachichi nchini humo. Hakuna pesa ya SGR๐๐toka The Star.co.ke.
GDP iliojaa madeni mpaka matakoni๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Gap ni ile ile $40b
Itakuwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi hii kama kumbu kumbu zangu ziko sawa.
Karibu na makazi ya popo kama wote,[emoji16][emoji16][emoji16]hapo kuna popo wengi kuliko sehemu nyingine.Ita kuwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi hii kama kumbu kumbu zangu ziko sawa.
[emoji16][emoji16][emoji16]unfortunately mmebaki na gepu pekee.Gap ni ile ile $40b
On paperGap ni ile ile $40b
Hivi render yake ndo hii maana this building is a knockout