Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya leta ushahidi google earth tuamini maneno yako[emoji38][emoji38][emoji38]

Ona hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1073087
[emoji3][emoji3]yuko anatafuta, yaani google earth ukisearch slums in dar, inavyokata utadhani umeishiwa bundle[emoji23][emoji23][emoji23],inajua kabisa hivyo vitu havichangamani.
 
Nakuonesha vile watu wanamiliki nyumba zao sio nyinyi munaokaa kwenye estate za investors kazi yenu kulipa rent na ardhi hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] robo ya kenya anamiliki kenyatta
vile vile isitoshe si nairobi nzima imejengwa kwa mfumo wa estate hao mbali na slums pia wana maeneo ya uswazi hawa machokoraa wametudouble [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SWALI LA MSINGI

kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikichukua middle income, low income na upper middle income wote nairobi, hawafiki 1.5 ml.
Kwa haraka kuna watu zaidi ya 1ml wanaishi kama nguruwe hapo jiji kuu EA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
area means nothing,what i see speaks louder,Dr is unplanned city,90% ni slum
nairobi planned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1555408880122.jpeg
tapatalk_1555408872437.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikichukua middle income, low income na upper middle income wote nairobi, hawafiki 1.5 ml.
Kwa haraka kuna watu zaidi ya 1ml wanaishi kama nguruwe hapo jiji kuu EA[emoji23][emoji23][emoji23]
ni kweli kabisa yaani zile hostel wanazotuonyesha ndiyo ushuani kwao[emoji3][emoji3] [emoji3] si vituko ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vile vile isitoshe si nairobi nzima imejengwa kwa mfumo wa estate hao mbali na slums pia wana maeneo ya uswazi hawa machokoraa wametudouble [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mi nikose kazi nijenge nyumba eti ya kuishi nairobi...ma investors wote hao wanajenga apartments au ji eatate wanakuuzia....

Si heri mara mia nijenge flat yangu nitie hela...nyumba ya kuishi nitajenga kwetu bana...baada ya ku retire mwenzako narudi hom kula bata tu...

Ndio manake mkiambiwa dar ni mkoa wenye uko na cbd plus vijiji huaga unapinga...bwahaaaa
 
nisikufiche hizo hostel estate building zenu zimekaa kilocal sana ila baadhi ndiyo zipo kisasa nyingi ni local after 30yrs zitakuwa kambi za mapopo

hebu check ya kisasa yavyopaswa kuwa

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1072875View attachment 1072876

Sent using Jamii Forums mobile app
nisikufiche hizo hostel estate building zenu zimekaa kilocal sana ila baadhi ndiyo zipo kisasa nyingi ni local after 30yrs zitakuwa kambi za mapopo
hebu check ya kisasa yavyopaswa kuwa <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji116.png" />View attachment 1072875View attachment 1072876
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna vijijini zipo kali zaidi ya hzo...bwahahaaa..
Kw taarifa yako wakenya hawanganganii wala kubabaikia mjini...utakuta jizee lizima dar linajipiga kifua na kusema mjini kutamu bana...si urudi kwenu tu...kw mfano tu tuangalie ma rais wastaafu...yani tanzania wa tanzania bado hawaamini km wamestaafu...bado wanatak kuishi dar..kisa kwao mashinani ni kubovu...hapo ndio unakuta difference ya watz na wakenya...tanzania hamna zaidi ya dar..kila mtu ana ndoto ya kufika dar...bwahaha...
 
Yani mi nikose kazi nijenge nyumba eti ya kuishi nairobi...ma investors wote hao wanajenga apartments au ji eatate wanakuuzia....

Si heri mara mia nijenge flat yangu nitie hela...nyumba ya kuishi nitajenga kwetu bana...baada ya ku retire mwenzako narudi hom kula bata tu...

Ndio manake mkiambiwa dar ni mkoa wenye uko na cbd plus vijiji huaga unapinga...bwahaaaa

Uwezo wenu ndio umeishia hapo kujenga vijijini, sisi huku tunajenga kwotekwote tena kwa ubora wa hali ya juu, hatusubiri mzungu aje kutujengea.
 
Mbna vijijini zipo kali zaidi ya hzo...bwahahaaa..
Kw taarifa yako wakenya hawanganganii wala kubabaikia mjini...utakuta jizee lizima dar linajipiga kifua na kusema mjini kutamu bana...si urudi kwenu tu...kw mfano tu tuangalie ma rais wastaafu...yani tanzania wa tanzania bado hawaamini km wamestaafu...bado wanatak kuishi dar..kisa kwao mashinani ni kubovu...hapo ndio unakuta difference ya watz na wakenya...tanzania hamna zaidi ya dar..kila mtu ana ndoto ya kufika dar...bwahaha...

Mnapokua na ubaguzi wa kikabila huwezi kuelewa haya mambo. Hao wote unaowaona na kuwasikia, wamejenga vijijini na mjini pia na ndio maana vijijini kwetu hamna njaa kama ilivyo kwenu. Unatudanganya hapa na tunaona shule za vijijini kwenu!
 
Yani mi nikose kazi nijenge nyumba eti ya kuishi nairobi...ma investors wote hao wanajenga apartments au ji eatate wanakuuzia....

Si heri mara mia nijenge flat yangu nitie hela...nyumba ya kuishi nitajenga kwetu bana...baada ya ku retire mwenzako narudi hom kula bata tu...

Ndio manake mkiambiwa dar ni mkoa wenye uko na cbd plus vijiji huaga unapinga...bwahaaaa
SWALI LA MSINGI

kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbna vijijini zipo kali zaidi ya hzo...bwahahaaa..
Kw taarifa yako wakenya hawanganganii wala kubabaikia mjini...utakuta jizee lizima dar linajipiga kifua na kusema mjini kutamu bana...si urudi kwenu tu...kw mfano tu tuangalie ma rais wastaafu...yani tanzania wa tanzania bado hawaamini km wamestaafu...bado wanatak kuishi dar..kisa kwao mashinani ni kubovu...hapo ndio unakuta difference ya watz na wakenya...tanzania hamna zaidi ya dar..kila mtu ana ndoto ya kufika dar...bwahaha...
na wale walio vijijini kwani si watu...?

ngoja nikufunze kitu kwa Tanzania usipojenga kwenu ama usipoweka mazingira ya ulipotoka vizuri ni haibu kubwa..na vile vile usipojenga ama kuweka mazingira vizuri mahali unapoishi pia ni haibu kubwa hivyo inatulazimu kujenga sehemu mbili yaani unapoishi na ulipotokea ...

nyie bado wakora tu mnaishi kama wakimbizi kwenye taifa lenu mnaishia kujenga village tu wacha uwongo kwa hapo nairobi asilimia kubwa ni watu mnao rent house na huwa mnazaliana humo kuanzia wajukuu mpaka vitukuu pia mnazeekea humo humo nakufa[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapokua na ubaguzi wa kikabila huwezi kuelewa haya mambo. Hao wote unaowaona na kuwasikia, wamejenga vijijini na mjini pia na ndio maana vijijini kwetu hamna njaa kama ilivyo kwenu. Unatudanganya hapa na tunaona shule za vijijini kwenu!
Bwahahaaaaa...nyerere angelibaki dar....hhhhh!!watu wanainua mijengo katika majimbo yao...we bado unaongelea yale maeno ya wafugaji...heheee
na wale walio vijijini kwani si watu...?

ngoja nikufunze kitu kwa Tanzania usipojenga kwenu ama usipoweka mazingira ya ulipotoka vizuri ni haibu kubwa..na vile vile usipojenga ama kuweka mazingira vizuri mahali unapoishi pia ni haibu kubwa hivyo inatulazimu kujenga sehemu mbili yaani unapoishi na ulipotokea ...

nyie bado wakora tu mnaishi kama wakimbizi kwenye taifa lenu mnaishia kujenga village tu wacha uwongo kwa hapo nairobi asilimia kubwa ni watu mnao rent house na huwa mnazaliana humo kuanzia wajukuu mpaka vitukuu pia mnazeekea humo humo nakufa[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukwel mchungu...bwahahaaaa...yani jamaa lime retire bado lingangania dar tu...si urudi kwenu kijini km unavyodai wanamajengo ya maana vijijini...

Kwhyo hata hao watu wa tandale wanaona aibu kwkuwa hawana pa kwenda...heheee
 
SWALI LA MSINGI

kiuhalisia si nairobi yote ina zile hostel estate nikimaanisha kuwa total ya wananchi wanaoishi nairobi si wote wanaokaa kwenye zile hostel estate kwani wingi wa raia wa nairobi hauwezi tosha swali la msingi linakuja hapa sasa, je mbali na kibera,mama huruma na slums nyingineezo yako wapi makazi ya wananchi wengine wanaokaa kwenye nyumba zao ambazo wamejenga kwa mtindo wautakao..kwani hizo nyumba pia zipo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani unamaanisha kuwa na nyumba yako mwenyewe nimpka uijenge...maskini...kumbe hujui mpka apartments na estates zingine watu wanauziwa...

Maskini watanzania...
Alafu mmeletewa maeneo ya kawaida sana mmeshaanza kuweweseka...mara hoooo....
Nisaidie jamani...nataka kuyaona makaazi ya middle class ya dar na kw majina tu google...km vile buruburu,umoja,
 
Yani unamaanisha kuwa na nyumba yako mwenyewe nimpka uijenge...maskini...kumbe hujui mpka appartments na estates zingine woatu wanauziwa...

Maskini watanzania...
Alafu mmeletewa maeneo ya kawaida sana mmeshaanza kuweweseka...mara hoooo....
Nisaidie jamani...nataka kuyaona makaazi ya middle class ya dar na kw majina tu google...km vile buruburu,umoja,
uelewa wako ni mdogo inamaana watu wote wa nairobi nzima huwa mnanunua nyumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
slum zones in Dar
1.mbagala
2.mtoni
3.tandika
4.temeke
5.manzeshe
6.tandale
7.mabibo
8.sinza
9.tabata
10.segerea
Mbagala huiwezi wewe mkora wa mathare
 
Attachments

  • istockphoto-940425488-1024x1024.jpeg
    istockphoto-940425488-1024x1024.jpeg
    136 KB · Views: 30
  • mbagala-suburbs-area-dar-es-450w-1056184316.jpeg
    mbagala-suburbs-area-dar-es-450w-1056184316.jpeg
    30.7 KB · Views: 29
  • istockphoto-940425284-1024x1024.jpeg
    istockphoto-940425284-1024x1024.jpeg
    125.7 KB · Views: 28
  • 4cdaa981a580866fcb476f7f9e5985c2.jpeg
    4cdaa981a580866fcb476f7f9e5985c2.jpeg
    77.1 KB · Views: 28
Back
Top Bottom