Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

woooiiii..unataka kulinganisha county na halmashauri...poor guy...

county zina bunge lake,spika wake,MCAs ambao ndio wabunge wa kaunti,county representative(gavana)...

unaniletea story za halamashauri sijui mwenye kiti,diwanisijui mjumbe....mifumo ya kikokoloni hyo...

bwahaaaa
Ni kitu kile kile ila majina ya vyeo ndo tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakosi sababu hawa watu😂😂👇👇 mara mvua imekwama tanzania😆😆😆

bado unazidi kuwa zuzu tu...eti ni kitu kile kile....hahaa...wacha kulinganisha county na vitu vya kijinga bwana...
bwahaaa
wewe ndio zuzu. Huelewi hata jinsi local governments zinavyowork. nyie mna counties sisi tofauti ni jina ila maana ni ile ile. The US for instance, wanatumia neno states kutofautisha regional municipalities lakini jirani hapo Canada wanatumia provinces sasa sijui wewe unaelewa? It all depends with the country and the system they use kwa sababu mfano province ya British Columbia, Canada ni kubwa kuliko hata California, USA lakini California ina population kubwa zaidi na economy kubwa zaidi. In fact, if California were an Independent country, it would have been the 4th largest economy in the world. Sasa ndio ujifunze hapa kuwa it's not about size
 
naona bado unazidi kuumia...hahaaa!!km mikoa kenya bado iko...lkn inajulkana km regions...unajisumbua kuleta sijui USA na canada...wacha kuhanya hanya...usilinganishe county na hzo halmashauri zenu...kila kitu mpka kipitishwe bungeni ndio kifanyike...bwahahaaaa..county ikishapewa mgaoa wake inaamua katika bunge lake nn cha kufanya...wafanyikazi wwa county watalipwa vipi...

wacha kujifnya juha...ama hujui kuna watu kw county wanapiga hela ndefu kw ajira zinazotolewa kw county...kila county ina mawaziri wake...wacha nikuelimishe kidogo brother...mradi wowote lazima uwasilishwe katika bunge la kaunti alafu waone km uatapita au laa...

we unakuja na story za wajumbe...wajumbe wana nn zaidi ya kupewa nyumba ya kuishi...bwahaaaa
 
Na unajua kwann wanzungumzia GDP ndani ya GDP kuna debt ya almost 66% ratio to GDP 😂😂😂😂😂😂😂

Ni sawa na mtu anaefanya biashara kwa mtaji ambao 66% ni mkopo bado hujaweka interest huku akimtambia mwenye mtaji ambao mkopo haufiki hata asilimia 40. Tena kuonesha huku wakikopa kulipa mkopo wa zamani the most foolish type of business.
Halafu wakumbuke wanakopa mtaji hadi assets kama vile ndege n.k
 
naona bado unazidi kuumia...hahaaa!!km mikoa kenya bado iko...lkn inajulkana km regions...unajisumbua kuleta sijui USA na canada...wacha kuhanya hanya...usilinganishe county na hzo halmashauri zenu...kila kitu mpka kipitishwe bungeni ndio kifanyike...bwahahaaaa..county ikishapewa mgaoa wake inaamua katika bunge lake nn cha kufanya...wafanyikazi wwa county watalipwa vipi...

wacha kujifnya juha...ama hujui kuna watu kw county wanapiga hela ndefu kw ajira zinazotolewa kw county...kila county ina mawaziri wake...wacha nikuelimishe kidogo brother...mradi wowote lazima uwasilishwe katika bunge la kaunti alafu waone km uatapita au laa...

we unakuja na story za wajumbe...wajumbe wana nn zaidi ya kupewa nyumba ya kuishi...bwahaaaa
Wewe utabaki kuwa mjinga siku zote maishani mwako. Kila county ina waziri wake? 👉👌 haha!!!!!!! so county ya nairoberry ina waziri wa fedha, ina waziri wa ardhi, ina waziri wa elimu? uwe mwelewa au utaaibika humu mpaka basi. Sijifanyi mjuaji ila NINAJUA ninachokiongea coz US nimeishi na Canada kwa muda mfupi kwa hiyo najua ninachozungumza sasa wewe unayeishi kwenye nchi ambayo hata hujui inaendaje sijui nikuchukulieje? anyway, it seems stupidity runs in the nation
 
currency na gdp eti si kitu...$1=tsh2450...
gdp usa more than $5trillion km sikosei..
tanzania gdp $61bln...

currency na gdp si kitu bwana...tanzania wanadaiwa hela ndogo kuliko USA...huaga wanatumia pesa za ndani...tanzania hamna watu wanaolala nje km USA(homeless)...uchumi wa tanzania wanaoujuwa ni watanzania...tanzania ni bora kuliko USA...manake gdp ya usa na currency yao ni ya watu flani..lkn kiuhalisia usa mtu anaeza chukua bunduki na kuuwa watu..tanzania ni kisiwa cha amani bana...

USA NA CHINA hawafui dafu kw uchumi na maendeleo...

BWAHAHAAAAA....

nasubiria drawn view ya sgr...wala si vile viporo mkaweka hapa ya zile nguzo na ile mitaro hapa...msidhani tumezisahau picha...
hzo za dara kwanza ni vipande vipande...manina..mturuki nyorosha hawa wajinga bana...wajengee choo kingine morogoro...
Sema unabahati hata itakapokamilika hutaona aibu maana mshazoea tabia za hovyo
 
Do you know what really fascinates me the most about this group, kenyans are always on top and not contributing much since what we have and seen is a lot in Nairobi for years is what TZs are posting about Dar es salaam now. for example,
1.the total revenue of Tz tourism is $2.43b and for kenya is $1.57b not much diference but the revenue kenyan in diaspora contributed to kenyan economy is $2.7b.
2. Nairobi has bigger and better road infrastructure than dar
3. We have bigger economy
 
Jike Ema, hongereni kwa gbp kubwa nairobi ila kwa uzuri haitaweza kuifikia Dar es Salaam.
Hizo infrastructure unazozungumzia za nairobi ni wewe, ila ungekuwa muelewa ungekaa kimya maana hakuna asiyejua kuwa nairobi haiwezi kuifikia Dar es Salaam kwa usafiri bora na wakuu wa regions zenu wanakuja mara kwa mara kujifunza namna watakavyokopi. Mlichokua mnaringia ni madaraja ya juu na sasa tunaenda speed ya light.
Mfugale, nyerere, ubungo, sgr bridge, selander, gerezani, we acha tu na sasa tunasubiria kauli ya flyover ya kinondoni. Pia usisahau kwenye kimara - kibaha kutakua na njia za juu tatu. Na yote haya gdp itapanda yenyeww
 
What are you implying by saying "kenyan in diaspora"? Infrastructure wapi? mwaka jana hapo matatu ban ilileta kasheshe jiji zima. kulikuwa hamna cha ng'ong road wala nini, people waliteseka sana sasa unataka ulinganishe na hii
3D26659E-8EBC-4EC2-A03D-4479DE7A7A4F - Copy.jpeg
43E17867-6B9B-4BCA-BA14-FF071190FC12.png
761D2094-27FD-4333-AC68-E76B147A20CE - Copy.png
20181202_165238.jpeg
D1C-eMVWsAAEYlo.jpg
DrzDtzlW4AAiidX.jpg
DsNXI3pXoAA9whT - Copy.jpg
Gsp73cm - Copy.jpg
KkfTYnP.jpg
pic+train.jpg
 
What are you implying by saying "kenyan in diaspora"? Infrastructure wapi? mwaka jana hapo matatu ban ilileta kasheshe jiji zima. kulikuwa hamna cha ng'ong road wala nini, people waliteseka sana sasa unataka ulinganishe na hii View attachment 1071695View attachment 1071696View attachment 1071697View attachment 1071698View attachment 1071699View attachment 1071700View attachment 1071701View attachment 1071702View attachment 1071703View attachment 1071704

Nafuu umwambie huyo nyumbu. Kuna turbo inatakiwa izibuliwe kwenye kichwa chake ndo aelewe
 
Jike Ema, hongereni kwa gbp kubwa nairobi ila kwa uzuri haitaweza kuifikia Dar es Salaam.
Hizo infrastructure unazozungumzia za nairobi ni wewe, ila ungekuwa muelewa ungekaa kimya maana hakuna asiyejua kuwa nairobi haiwezi kuifikia Dar es Salaam kwa usafiri bora na wakuu wa regions zenu wanakuja mara kwa mara kujifunza namna watakavyokopi. Mlichokua mnaringia ni madaraja ya juu na sasa tunaenda speed ya light.
Mfugale, nyerere, ubungo, sgr bridge, selander, gerezani, we acha tu na sasa tunasubiria kauli ya flyover ya kinondoni. Pia usisahau kwenye kimara - kibaha kutakua na njia za juu tatu. Na yote haya gdp itapanda yenyeww
Ujinga ni wewe, mbona wenzako walio fika nairobi hawajawai ongea, just take it the way it is, you will never beat us
 
naona bado unazidi kuumia...hahaaa!!km mikoa kenya bado iko...lkn inajulkana km regions...unajisumbua kuleta sijui USA na canada...wacha kuhanya hanya...usilinganishe county na hzo halmashauri zenu...kila kitu mpka kipitishwe bungeni ndio kifanyike...bwahahaaaa..county ikishapewa mgaoa wake inaamua katika bunge lake nn cha kufanya...wafanyikazi wwa county watalipwa vipi...
wacha kujifnya juha...ama hujui kuna watu kw county wanapiga hela ndefu kw ajira zinazotolewa kw county...kila county ina mawaziri wake...wacha nikuelimishe kidogo brother...mradi wowote lazima uwasilishwe katika bunge la kaunti alafu waone km uatapita au laa...
we unakuja na story za wajumbe...wajumbe wana nn zaidi ya kupewa nyumba ya kuishi...bwahaaaa
Yaani we jamaa ni kilaza sijawahi ona,yan ni next level
 
Back
Top Bottom