komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
siku zote ukweli haufutiki....eti mzee anazindua kila siku..wajua magavana wamejenga barabara km ngapi kaunti zote 47 2018 mpka sasa...wacheni uropokaji km nyie ndio mnazindua tu...hapo hatujagusa za serekali kuu...yani mtakimbia...
yani katika hzo kaunti 47...iko na towns za uhakika km 40 hv...na hapo kuna zngine ziko na town zaidi ya moja...alafu uje katika miji midogo midogo katiika sub counties...ujuwe kila county ina sub counties zisizo pungua tatu.. yani we achana kenya kabisa katika maendeleo mashinani japo kuwa kuna sehemu zina mapungufu