Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakirudi utaskia wanakwambia GDP[emoji38][emoji38]

Ndiyo maana wachezaji wa Gor wote wakitakwa na timu ya Tz wana kimbia mbio. Mwenzao Kagere wana muona kwa insta anapanda ma private jet wao wana lala airport!! Uchumi mkubwa huwa huna impact mpaka huku, hapa ndiyo nashindwa kuelewa hiyo GDP ya Kenya ina kwama wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar es Salaam - Mega City

Screenshot_2019-04-13 loveness on Twitter.png
 
Ndiyo maana wachezaji wa Gor wote wakitakwa na timu ya Tz wana kimbia mbio. Mwenzao Kagere wana muona kwa insta anapanda ma private jet wao wana lala airport!! Uchumi mkubwa huwa huna impact mpaka huku, hapa ndiyo nashindwa kuelewa hiyo GDP ya Kenya ina kwama wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko kwenye makaratasi ya wakikuyu wamehifadhi 😆😆😆😆😂
 
Ndiyo maana wachezaji wa Gor wote wakitakwa na timu ya Tz wana kimbia mbio. Mwenzao Kagere wana muona kwa insta anapanda ma private jet wao wana lala airport!! Uchumi mkubwa huwa huna impact mpaka huku, hapa ndiyo nashindwa kuelewa hiyo GDP ya Kenya ina kwama wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure, kama ukiwashinda wenzako kwa gdp ndio unaishi kwa mateso namna hiyo, bora tufocus kwenye maendeleo hiyo gdp itapanda yenyewe.
Mara njaa, mara shida ya maji, mara hakuna bima ya afya, matatizo chungunzima

Halafu Mungiki wana takwimu za ajabu sana:
gdp kubwa kuliko ya Tz ila sasa: "njaa, maji ya shida, madeni kibao, n.k"
Curency value kubwa kuliko South Korea ( 1 Ksh = 11.23 South Korean Won) ila hawathubutu hata kujilinganisha na South Korea ambapo mtoto anahudumiwa na serikali kuanzia akiwa kijusi.

Hpo ndipo utagundua currency na gdp ya mungiki ipo kwenye makaratasi ya biashara za wazungu ambapo haiwahusu wakenya hata kidogo.
Wakenya wajitafakari na waache kujisifia vitu ambavyo havionekani kuwafaidisha hata kidogo

Mtaniwia radhi kama imewachoma, any way turudi kwenye batle yetu ya DSM vs Nairobi
 
Seriously 1Kshs=11 ₩ ?
 
💉💉💉💉💊💊💊
 
Na unajua kwann wanzungumzia GDP ndani ya GDP kuna debt ya almost 66% ratio to GDP 😂😂😂😂😂😂😂
 
Wewe Acha kuturopokea hapa, topic ya paved roads tumeshafunga mjadala sababu tumewapita kwa zaidi ya kilometers 7000 mpaka sasa

Issue hapa ni Hawa ndugu zako wanaoishi kama homeless airport [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anaongelea kaunti 47 wakati Tanzania ina halmashauri za wilaya sio chini ya 169 ambazo zina mafungu pia ya kujenga barabara zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
currency na gdp eti si kitu...$1=tsh2450...
gdp usa more than $5trillion km sikosei..
tanzania gdp $61bln...

currency na gdp si kitu bwana...tanzania wanadaiwa hela ndogo kuliko USA...huaga wanatumia pesa za ndani...tanzania hamna watu wanaolala nje km USA(homeless)...uchumi wa tanzania wanaoujuwa ni watanzania...tanzania ni bora kuliko USA...manake gdp ya usa na currency yao ni ya watu flani..lkn kiuhalisia usa mtu anaeza chukua bunduki na kuuwa watu..tanzania ni kisiwa cha amani bana...

USA NA CHINA hawafui dafu kw uchumi na maendeleo...

BWAHAHAAAAA....

nasubiria drawn view ya sgr...wala si vile viporo mkaweka hapa ya zile nguzo na ile mitaro hapa...msidhani tumezisahau picha...
hzo za dara kwanza ni vipande vipande...manina..mturuki nyorosha hawa wajinga bana...wajengee choo kingine morogoro...
 
GDP👇👇👇👇👇

Anaongelea kaunti 47 wakati Tanzania ina halmashauri za wilaya sio chini ya 169 ambazo zina mafungu pia ya kujenga barabara zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
woooiiii..unataka kulinganisha county na halmashauri...poor guy...

county zina bunge lake,spika wake,MCAs ambao ndio wabunge wa kaunti,county representative(gavana)...

unaniletea story za halamashauri sijui mwenye kiti,diwanisijui mjumbe....mifumo ya kikokoloni hyo...

bwahaaaa
 
Back
Top Bottom