Sasa wewe umetoka kwa dimbwi lipi? Wakenya wengi kufanya kazi nchini Tanzania inakuonyesha nini kama mtanzania? Kwanza ni dhihirisho kwamba hamna enough human resource kuendeleza uchumi wenu ndo maana tuko na uchumi kubwa kuwaliko so you should even thank us. Pili, inaonyesha kwamba wakenya ni watu wa kujituma, sio kama nyinyi wazembe waliobobea kwa story za vijiweni na kongea za wengine ndio maana siku zote mmeaminishwa na sisiemu kwamba Kenya ilijengwa na wazungu. Nchi yetu tumeijenga kwa jasho letu japo changamoto bado zipo si haba. So chunguza unachosema usionekane mjinga wa kupindukia!