Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana mdogo wacha longolongo. Sasa unatuletea figures from your government ilhali hutaki kukubaliana na figures za world bank! Ingekuwa ni mkenya ameleta source ya government ya Kenya you would have been so quick to dismiss them saying those are cooked figures. Is that not double standards? Halafu ulivyo mjinga, hukuchukuwa hata mda wako kusoma ripoti yenyewe. In the subtopic ' Electrification demand and electrification rate' it CLEARLY says ... 'World bank figures from 2014 shows a 30% overall electrification rate...with only 18% of your rural folk having access to electricity....' Kubali yaishe, ni asilimia 32 tu ya watanzania ndio wako na umeme na hata hiyo serikali yenu 'tukufu' imedhibitisha hilo
Hutaki kusoma au unaogopa ulitakiwa usome ujue nn tunafanya na wapi tunaelelea 😆😆😆
 
Yaani mnahangaika na kufananisha kenya na Tanzania?
Tanzania ipo mbali sana
Moja ni nchi isiyo na ukabila
Pili ni nchi yenye neema sana kila mahali
Angalia mito maziwa bahari vyote huwezi kufananisha na nchi ya kenya.
Ukitaka kujua wakenya wapo hoi nenda mashule asilimia kubwa wanaofundisha private schools wanatoka kenya.
Zanzibar asilimia kubwa wanaofanya mahotelini wakenya. Na pia mashuleni.
Kwahiyo
Tanzania huwezi fananisha na kenya hata kidogo.
Unajipa matumaini kua zanzibar hoteli wakenya wengi nani alikwambia au unayo takwimu utuoneshe😆😆😆😆

Kwa taarifa fupi tu alipoingia magufuli wakenya wengi sana waliondoshwa hata mererani walikimbizwa kurudiashwa kwao ndio wanamchukia sana magufuli😂😂😂😂
 
N
Hutaki kusoma au unaogopa ulitakiwa usome ujue nn tunafanya na wapi tunaelelea 😆😆😆
Nisengesoma kama wewe nisingeona mahali imeandikwa access rate yenu ni 30%. Soma hiyo taarifa wacha kujifanya mbumbumbu. Yani karibu tunadouble access rate yenu ilhali mko wengi kutuliko! Aibu ulioje
 
Hutaki kusoma official link unalazmisha link ya 2016 😂😂😂😂 mm nakuletea ya 2019 hutaki sasa unataka nn

Unazungumza habari ya access na wiki nzima umeme hakuna nchini kwenu???
 
Sasa wewe umetoka kwa dimbwi lipi? Wakenya wengi kufanya kazi nchini Tanzania inakuonyesha nini kama mtanzania? Kwanza ni dhihirisho kwamba hamna enough human resource kuendeleza uchumi wenu ndo maana tuko na uchumi kubwa kuwaliko so you should even thank us. Pili, inaonyesha kwamba wakenya ni watu wa kujituma, sio kama nyinyi wazembe waliobobea kwa story za vijiweni na kongea za wengine ndio maana siku zote mmeaminishwa na sisiemu kwamba Kenya ilijengwa na wazungu. Nchi yetu tumeijenga kwa jasho letu japo changamoto bado zipo si haba. So chunguza unachosema usionekane mjinga wa kupindukia!

Nonsense.
We have resources but we know mna struggle na maisha as human beings kama tulivyo wakomboa we are also giving job.

Kenya bado mbahangaika kuzuia Matatu (small car) zisiingie mjini wakati wezenu hayo tulishayaacha miaka 10 iliyopita now we are ahead kuweka mwendo kasi all around of of the city.
 
Alaf mwengine anazungumza habati ya access na umeme hawana wiki nzima 😆😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇

So kisa hii thread ndo ukaamua utupake tabia yenu? Kweli nyani haoni kundule na mkuki kwa ngurue mtamu ila kwa binaadamu mchungu.

Nikusaidie tu kama hilo bichwa lako haliwezi kuconnect dots, hii thread ni matokeo ya post zenu za mitandaoni kutengeneza posta za kuisort Tanzania na Dar es Salaam against uchafu wenu. Ingia youtube cheki comparisons mnazotuchafulia sifa zetu tena kuna yule nyumbu mwenzako anajiita tunacheki na mwingine africa insider and that is just sample bado search google utakuta .ke kibao zimetoa takwimu zao against Tanzania na Dar es Salaam, ukipata sehemu yenye umeme wa uhakika take your time sina haja ya kukuelezea sana maana kama kichwa chako kinachelewa kuscan ni matatizo yako hayanihusu

NDUGU YANGU kenya wachafu hatari alafu wanahali mbaya sana .
Sijaona slams Tanzania lakini kenya zimejaa.

Maisha ya kenya magumu ndio maana always hawana subira wala hekima waropokaji ropokaji tu angalia professor Lumumba anavyoropoka talking without thinking ndio wengi wakenya wako hivyo.
 
Nonsense.
We have resources but we know mna struggle na maisha as human beings kama tulivyo wakomboa we are also giving job.

Kenya bado mbahangaika kuzuia Matatu (small car) zisiingie mjini wakati wezenu hayo tulishayaacha miaka 10 iliyopita now we are ahead kuweka mwendo kasi all around of of the city.
Hahaha naona umebaki kutapatapa kama mlevi. Jaribuni mujenge uchumi wa nchi yenu angalau ipite hata uchumi wa Nairobi kwanza ndio tukuje katika meza moja ya mdahalo na nyinyi bongolalas
 
Alaf mwengine anazungumza habati ya access na umeme hawana wiki nzima 😆😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇

Hahaha fikieni hata asilimia 40 kwanza ndugu zetu danganyikans
Screenshot_20190408-155416.png
 
Hutaki kusoma official link unalazmisha link ya 2016 😂😂😂😂 mm nakuletea ya 2019 hutaki sasa unataka nn

Unazungumza habari ya access na wiki nzima umeme hakuna nchini kwenu???
Wewe ni nyumbu kweli. Yani unaleta link na hata hujui link yenyewe inasema nini!!! Did you take time to read that 'official' link before posting it here ama wewe bora umesoma headline baas? Soma hiyo taarifa uliyoleta wewe mwenyew na uache kilele
 
😆😆😆😆👇👇👇👇 soma hapa uelimike

Mulijua miaka inarudi nyuma 😆😆😆 miaka mitatu magufuli aliyoyafanya ni sawa na kenya miaka 30😂😂😂😂
 
NDUGU YANGU kenya wachafu hatari alafu wanahali mbaya sana .
Sijaona slams Tanzania lakini kenya zimejaa.

Maisha ya kenya magumu ndio maana always hawana subira wala hekima waropokaji ropokaji tu angalia professor Lumumba anavyoropoka talking without thinking ndio wengi wakenya wako hivyo.
hahahahah, anamsifu Mkulo, wenye mkulo wetu tunamfahamu kuliko yeye, wakenya limbukeni sana
 
😆😆😆😆👇👇👇👇 soma hapa uelimike

You've just proven that one can live without a brain. That's the same link you keep posting here now and again and it says your access rate is at 30%. Wewe ni attention tu unataka. Soma hiyo link word by word and if you don't come across a paragraph saying your current rate is 30% basi umeshinda
 
Back
Top Bottom