Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
2,744
Points
2,000
Age
32
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
2,744 2,000
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
954
Points
1,000
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
954 1,000
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
9,194
Points
2,000
Age
28
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
9,194 2,000
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
954
Points
1,000
T

Tz_one

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
954 1,000
uko vizur ndugu kwa UPDATES kama hizi. Upo kitengo cha mawasiliano nn serikalini??
Hapana mkuu..social media tu hizi zinafanya uwepesi ..nataman nngekua na kitengo serikalin..hasa sector ya toursim au agriculture...tuna idea nyng za kusogeza nchi mbele nataman mawaziri wawe wanapitia wanasoma.....
Toursim na Agriculture zinatosha kupeleka GDP kufika hata 100BilUSd in 5 years na kutoa ajira hata 2mil ...
Nkiangalia potenital ya Mafia,Mbeya,Lindi hizo sehemu hatujazigusa ..bado....confernece toursim,sporta toursim
Agriculture sector ya korosho,pamba,kahawa,holticulture ...
Tz tuna potential ya kuongza africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
1,564
Points
2,000
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
1,564 2,000
Hapana mkuu..social media tu hizi zinafanya uwepesi ..nataman nngekua na kitengo serikalin..hasa sector ya toursim au agriculture...tuna idea nyng za kusogeza nchi mbele nataman mawaziri wawe wanapitia wanasoma.....
Toursim na Agriculture zinatosha kupeleka GDP kufika hata 100BilUSd in 5 years na kutoa ajira hata 2mil ...
Nkiangalia potenital ya Mafia,Mbeya,Lindi hizo sehemu hatujazigusa ..bado....confernece toursim,sporta toursim
Agriculture sector ya korosho,pamba,kahawa,holticulture ...
Tz tuna potential ya kuongza africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Anko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,283,643
Members 493,763
Posts 30,795,347
Top