ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
Walikuja hapa wakasema access to electricity kwao ni kubwa sasa sioni faida yake😆😆😆lile suala la power interruption(mgao wa umeme) ndani ya kenya, linaendelea tena leo tarehe 8.
halafu utawakuta kwenye social media na vingereza vingi wakijidai ati wao ni watu wa uchumi wa kati.
eneo kukosa umeme kuanzia 9am-5pm ni hasara kubwa sana katika shuguli za kiuchumi.
View attachment 1065898View attachment 1065900View attachment 1065901View attachment 1065902
Ujumbe kwa wakenya👇👇👇👇👇