Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yan ndo nilichokuwa nawaza hiko hiko man ...kama hujawai tembea cities nyingne unaweza chukulia Dar poa ....nawaza hapa Selender bridge,BRT phase 2,3 and 4,Mbezi Luis Bus terminal,DMDP, Msimbazi Park Project ,Ubungo Interchabge,Kimara -Kibaha Highway

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau SGR mkuu
 
Hivi pale Kinondoni vijana wanajenga nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna mtu anataka kuprove jinsi gani dar ilivyo safi acheki hii video mwanzo mwisho

Hii video japo kuwa ni ya kumpeleka mtangazaji kwenye nyumba yake ya milele, ila imeonesha baadhi ya uzuri wa Dar es salaam. Barabara ni ndefu na ni safi kinoma. Je, Wana nairobi wanaweza kutupatia video ndefu hivyo kwa barabara moja ikiwa safi hivyo!?
 
Nairobi hakuna barabara safi na zinazovutia kama hizi za Dar kwa urefu huo, tena hii video pamoja na urefu wake lakini imeonesha tu tone la uzuri wa barabara za Dar, ile campaign ya Makonda ya kupanda miti imezaa matunda sana, baada ya miaka mitatu hiyo miti itakua mikubwa zaidi itakua kama ile ya Kigali.
 
Hii video japo kuwa ni ya kumpeleka mtangazaji kwenye nyumba yake ya milele, ila imeonesha baadhi ya uzuri wa Dar es salaam. Barabara ni ndefu na ni safi kinoma. Je, Wana nairobi wanaweza kutupatia video ndefu hivyo kwa barabara moja ikiwa safi hivyo!?
hawana Zaidi ya vile vishort road vyenye km kadhaa vya 6lane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mandela Expressway

IMG_8500.JPG

IMG_8501.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom