Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Wataelewa tu kuwa Tanzania ndio Baba wa Africa
Shida ni you don't want to accept we are ahead of you guys,Not true I checked and the tunnel has many segments separated!
Mbona hizo kawaida sana, angalia hiziTunaendelea pole pole hapa ni ngong road
View attachment 1040667View attachment 1040668View attachment 1040669View attachment 1040670
Say it to yourselfShida ni you don't want to accept we are ahead of you guys,
Brt phase 4Hii Barabara inapanuliwa na kama kawa inaandaliwa kwaajili ya BRT 3rd phase. Japani wamekua marafiki wazuri sana
View attachment 1040535View attachment 1040536View attachment 1040537
Mngeacha kuiga BRT basi mkaweka train za umeme mjini. Now mnakuja kujifunza namna ya kuimplement BRT, nani yupo ahead hapo?Shida ni you don't want to accept we are ahead of you guys,
Wenzako walikimbia humu, sasa umejileta acha tukugonge kwa zamuShida ni you don't want to accept we are ahead of you guys,
aisee tupo vizuri ,,,hawatoweza manyang'auWataelewa tu kuwa Tanzania ndio Baba wa Africa
Yan sana bro mwaka janai wish kila kampuni inayopanga kuset up kiwanda nchini kifanikiwe. nchi yetu itakua sana industrially mana Plants nying sana zimeahadiwa kuwa set up nchini
Tanzanite bridgeNa hapa tunaivunja record yetu wenyewe
View attachment 1040725
SureEast Africa HD
Huyu jamaa ilibidi akutane na kigwangwala,nimeangalia hapo watu wa mataifa mengi walikua hawajui Tanzania iko vipi,jamaa anatutangazia utalii wetuMarch 7, 2019
Dar -es -Salaam, Tanzania
Maya Wode - You Can't Believe This is Tanzania
Source : Wode Maya
Huyu jamaa ilibidi akutane na kigwangwala,nimeangalia hapo watu wa mataifa mengi walikua hawajui Tanzania iko vipi,jamaa anatutangazia utalii wetu
Hawa jamaa baadhi yao washamba sana... hawawezi kufurahia cha wengine, wao lazima wachafue tuu. Utasikia but Kenya is the...Kenya has.... Siyo wote wako hivyo ila kuna kundi kubwa miongoni mwao wako hivyo.Mmeangalia Comments za ndugu zetu kaskazini? Ni battle kama hapa 🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums