Japo kuwa naipenda sana BRT lakini hilo jani la kati linavutia sana, ila ndo hivyo kuna siku litaondelea kupisha ujenzi.Kama kuna mtu anataka kuprove jinsi gani dar ilivyo safi acheki hii video mwanzo mwisho
It is time to build low cost housing now ....itaasadia kupunguza unplanned settlements
Dah ni kweli lazima uzuri upungue kidogo wakiondoa hiyo Garden na miti ila kwenye miti mimi huwa katika living things hakuna kitu kinaniuma mpaka moyoni nikiona mtu anakata mti, lazima wawe na recovery programme ya namna ya kufanya compensation ya hiyo miti kwa kuipanda mipya pembezoni mwa barabara.Japo kuwa naipenda sana BRT lakini hilo jani la kati linavutia sana, ila ndo hivyo kuna siku litaondelea kupisha ujenzi.
binafsi huwa naiwaza sana ile miti ya nyerere road,dahDah ni kweli lazima uzuri upungue kidogo wakiondoa hiyo Garden na miti ila kwenye miti mimi huwa katika living things hakuna kitu kinaniuma mpaka moyoni nikiona mtu anakata mti, lazima wawe na recovery programme ya namna ya kufanya compensation ya hiyo miti kwa kuipanda mipya pembezoni mwa barabara.
All in all😂😂😂👇👇👇👇👇