Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu kimoja cha kunote ni kuwa hiki sio kituo cha kulaza magari au kupaki basi lako zaidi ya masaa mawili huo utakua ni uchafu, mgari zaidi ya 80 yanaweza kupaki kwa mpigo yakijaza abiria. Kumbuka hii ni phase ya kwanza. Phase ya pili itahusisha ujenzi wa hotels in which wanaweza kujenga sehemu ya kulaza magari au parking ya muda mrefu kama wakiweza kuiona hiyo fursa
Uko sahihi mkuu.. kila kampuni ya bus inabidi iwe na office a yard yake. Ubungo mambo yanafanyika kienyeji sana na hakiko user friendly, tulishapata somo. Hii design ya stand mpya ina hadhi ya kimataifa, kama airport. Hamna kupotea wala kuvutwa vutwa na madalali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1551684607316.png
 
Back
Top Bottom