Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wengi huwaga mnasema next week nitakua Dar, nakutupa ahadi za kutuma picha mbaya za Dar ila mkifika huwa mnakosa ubaya na kutupilia mbali camera zenu. Ila kwa case yako wewe hujafika kabisa una shobo sana ungetuma picha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sinaga muda wa kupiga picha na sitawahi post picha humu iwe ya Nairobi au Dar hilo mtafanya nyie,nitaepusha mbawa zangu Kwa hilo sitabishana na wewe,ila fahamu kuwa Dar naifahamu vizuri Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni maneno ya siasa ndugu ujenzi unafanyika Kama kawa na mavibali lengo ni kukusanya mapato via building permit fee Wala sio kudhibiti mpango mji
  1. Pili kasumba imejengeka kwamba viwanja vilivyopimwa bei ghali na hata kasi ya upimwajii ni slow sana
  2. Dom yenyew barabara ya iringa ni slums tupu na mitaa mingi tu,inatakiwa plots ziwe nyingi na watu walipe kidogo kidogo
Kupangika Kwa mji sio wingi wa plot ila ni jukumu la halimashauri husika kuweka aina ya majengo yanayo stahili kujengwa kama huwezi ukajenga nyumba kulingana na kiwango kilicho wekwa basi nunua kiwanja kwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What makes a city stand out is planning,and how vibrant its street level environment is.wide sidewalks,bikelanes,cafes,cleanlines,parks etc,sio tu majengo kila mahali,dar mpo na majengo mazuri lakini planning ni very poor.
Maadam umekiri tuna Majengo bora vingine vinafuata hata Rome haikujengwa siku moja
 
Nyeri town

1551537734685.png
1551538046003.png
1551538160868.png
1551538111430.png
1551538212311.png
1551538274098.png
 

Attachments

  • 1551537871083.png
    1551537871083.png
    65.7 KB · Views: 27
  • 1551537907510.png
    1551537907510.png
    183.4 KB · Views: 25
Wewe ndiyo unaleta siasa, daily mimi napata taharifa ya miradi ya viwanja kuisha. Iko hivi kwa kipindi hiki ukitaka plot ambayo haijapimwa ni kujitakia labda iwe kijijini ila siyo town. Kama huna taharifa nitafute, Changamoto zipo sija kataa. Kwani huko Kenya kuna mji ambao hauna squatters? navyo jua nyinyi kwenye ishu ya squatter ni kama Brazil kwenye mpira. Nyie ndiyo ma champion wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie akina nani labda wao,Mimi ni mbongo ndugu
 
Dar Es Salaam City



Yule Youtuber wa Ghana Woda Maya atakuja Kesho Dar, ana subscriber wengi sana, unaweza kuwasiliana nae ili umweleze maeneo salama ya kuchukua video. Uganda walimtimua majuzi na kenya waliwahi kumkamata. Naelewa kuna sehemu Dar haziruhusiwi kupiga picha, asije akajipeleka sehemu jamaa wakamtimua halafu nchi yetu ikapata picha mbaya.
 


Yule Youtuber wa Ghana Woda Maya atakuja Kesho Dar, ana subscriber wengi sana, unaweza kuwasiliana nae ili umweleze maeneo salama ya kuchukua video. Uganda walimtimua majuzi na kenya waliwahi kumkamata. Naelewa kuna sehemu Dar haziruhusiwi kupiga picha, asije akajipeleka sehemu jamaa wakamtimua halafu nchi yetu ikapata picha mbaya.
Angekuja December apande train ya umeme..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una kereka Sana kuona kwamba naifahamu nchi yako na wewe huijui yangu Dar Mimi ni mwenyeji Nina washikaji hapo kibao tu, nisubiri mwezi wa tano nitakua huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikusubiri wewe!! Wewe kama ukiwa Dar toa taharifa siyo kutupiga mikwala ya kitoto. Habari za Dar utakua unahadithiwa na mtu huko Mombasa then unavaa uhusika ukija JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom