LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Hii ni Afrika kweli?😱😱
Twende kazi!Hehehe.... haya basi, twende kama unavyotaka, Hebu weka hapa comment yangu inayoonyesha nilivyovamia swali... usije na mambo ya faculty of aviation hapa nionyeshe comment yangu inayoonyesha nilivyovamia swali ili niione coz comment inaweza ikawa vingine, wewe ukaelewa vingine. Nyie professional wa faculty of aviation siwaamini!! Tofauti na hapo endelea na wimbo wak wakufumbia macho....
Tunamshukuru rais Magufuli elim saivi ni bure kabisa. QT pia ipo, cz nahisi ulizungusha nyie ndo waku-google vyuo vya sub-faculty of aviation😱
hehehe.... hapo ushatafuta umekosa ukaona ngoja nirudi na kelele nyingiiii!!!..... Hehehe kawaida ya mtu anaekwepa kuumbuliwaNikuoneshe mimi tena we vipi ?????? Yani uvamie wewe Bomu alafu mm nikuoneshe
kumbuka anaeita mtu kilaza kaenda chuo cha ku-google tena Moscow na amesomea "mambo ya aviation industry!"😀😀😀😀😀 we kweli kilaza
tena yenye faculty zingine kama faculty of aircraft maintenance engineering, faculty of pilot studies, faculty of control tower, hadi faculty ya mambo ya aerospace!!! hehehehemm nimesomea mambo ya aviation industry
kasoma "mambo ya aviation industry" faculty of aviation, sub-faculty ya aeronautical engineeringfaculty kibao zikiweno aeronautics engineering, aircraft maintenance engineering,kuna pilot studies, control tower, mambo ya aerospace etc
miaka MNNE akarudi hajui chuo aliosoma ina faculty zipi!..... anaita mwingine kilaza!!!!!!!!! hahahahahaha kweli we jembe!!sub faculty ya aviation niliosoma mm uliza ujibiwe, aeronautical engineering
swali langu ni je ulizungusha?!😱Na nilikuambia ukiweza kujibu swali langu ndio utakua umepata jibu LA swali lako
what you mean...kaka pumzika ule ulikua mtego wa bomu ndio maana nakusihi tena siku nyingine ukikuta swali hewani uje kwa heshima na adabu sio unakurupuka kama mlevi alietoka usingizini🙂🙂🙂 utakuja kufa
Pumzika tu usihangaike sana maana utazidi kujitonesha......cha msingi pumzika tuonane kwenye mada zijazo kwa hili huna jibu na hutakuanalo milele......😛😛😛
Kwa kifupi umefeli
haya poa nimekuelewa....kaka pumzika ule ulikua mtego wa bomu ndio maana nakusihi tena siku nyingine ukikuta swali hewani uje kwa heshima na adabu sio unakurupuka kama mlevi alietoka usingizini🙂🙂🙂 utakuja kufa
Pumzika tu usihangaike sana maana utazidi kujitonesha......cha msingi pumzika tuonane kwenye mada zijazo kwa hili huna jibu na hutakuanalo milele......😛😛😛
Kwa kifupi umefeli
Ukikua utaacha
Wewe vipi hapa unaniitaita hapa vipi? Huoni hiyo ni Kenya Wall street, wemetumia picha ya Kenya kutuo mfano wa Dubai, we tuliaWanjala naomba tuonane hapa tafadhali😀😀
Utupatie majibu mazuri yenye kupendeza
View attachment 503969
balehe inamsumbua huyoUkikua utaacha
Hiyo minara inatia aibu, na ni uchafu mnachafua anga Kwa vitu vizivyo na mvutoView attachment 503694 looks like somewhere out of Africa. NAIROBI YETU.
Ukweli uko pale pale na swali halibadiliki hats nukta moja uko tayari kulivaa lijibu kama huna jibu kaa kimya bora kama mwenzako wanjala 😀😀😀😀😀😀😀Twende kazi!
Haya ukaaza!!!....
hehehe.... hapo ushatafuta umekosa ukaona ngoja nirudi na kelele nyingiiii!!!..... Hehehe kawaida ya mtu anaekwepa kuumbuliwa
kumbuka anaeita mtu kilaza kaenda chuo cha ku-google tena Moscow na amesomea "mambo ya aviation industry!"
tena yenye faculty zingine kama faculty of aircraft maintenance engineering, faculty of pilot studies, faculty of control tower, hadi faculty ya mambo ya aerospace!!! hehehehe
kasoma "mambo ya aviation industry" faculty of aviation, sub-faculty ya aeronautical engineering
miaka MNNE akarudi hajui chuo aliosoma ina faculty zipi!..... anaita mwingine kilaza!!!!!!!!! hahahahahaha kweli we jembe!!
swali langu ni je ulizungusha?!😱
naona unanitumia a secret message..... hehehe
what you say...
what you mean...
haya poa nimekuelewa....
Hahahahahaha haya msikilizeni wanjala hawa jamaa ukiwapatia mpaka unafurahi 😀😀😀😀Wewe vipi hapa unaniitaita hapa vipi? Huoni hiyo ni Kenya Wall street, wemetumia picha ya Kenya kutuo mfano wa Dubai, we tulia
The three dwarfs, heheheUAP Britam and the upcoming Avic puts these into shame and tartters......come to Nairobi and see how super skyscrapers are erected!!
Nimekwambia kma na minara sawa😀😀 😀😀The three dwarfs, heheheUAP Britam and the upcoming Avic puts these into shame and tartters......come to Nairobi and see how super skyscrapers are erected!!
That is how cities look likeHiyo minara inatia aibu, na ni uchafu mnachafua anga Kwa vitu vizivyo na mvuto
Kwa utaratibu huu kwa Dar es salam mtasubiri sana
Swali mi naamini utajibiwa tu wala usiwe na presha atakua anakutafutia. Mimi sina MB za kuchezea kuanza kurukia assignment za watu. Alafu ujue nini unanifurahisha kitu kimoja Hehehe..... unayvokwepa swala la elimu!!!! Hata uligusiii!!!! Kwani elimu ilikukosea nini?Ukweli uko pale pale na swali halibadiliki hats nukta moja uko tayari kulivaa lijibu kama huna jibu kaa kimya bora kama mwenzako wanjala 😀😀😀😀😀😀😀
Hakuna haja ya kujizungusha kuzuga hahhaha hakutakusaidia hapa ni swali unajibu 😛😛😛😛
Sio unajifanya eti swali la wanjala hahhaha sio la wanjala tu ni lenu nyote na lnawahusu ndio maana ukapata nyege zakulivaa swali Bomu limekubutukia sasa unaanza kutafuta sababu uonekane unajua kuongea 😀😀😀😀
Swali halikwepeki 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Hakuna ujanja hapa
Bomuuuuuuuuuu umelikombatia hahahhaha mkenya kilaza ndio wewe nilikua sijui  😀😀😀 unapewa swali unaanza kusingizia swali la Fulani sasa mwenzako mjanja kakwepa Bomu we kilaza umelikombatia hahhahaha nilikua namsubiri CHOLO mzii nikajua atalivaa yeye kumbe kumbe kuna kilaza plus 😛
Mabomu yanavamiwa kwa adabu sio kila unachokiona unaona rahisi tu🙂
Mengine sumu ona sasa unahangaika kutafuta njia za kutokea 😀😀🙂🙂🙂 mm unanipa raha sna maana naona kama panya kaingia mtegoni hahhahahhahahahha
Pumzika kaka usije niletea madder case bure
Yes tell them Wanjala,that spires on super skyscrapers show might,economic muscle and the prowess to go to staggering heights,beyond the sky and defines worlds skylines and that is why,spires on Nairobi skyscrapers have yielded fruits!Hass will go beyond the spires,and the war to the skies will not last any time soon in Nairobi skyline......
Ooh man,spire on super skyscraper has nothing to do with with economic show offYes tell them Wanjala,that spires on super skyscrapers show might,economic muscle and the prowess to go to staggering heights,beyond the sky and defines worlds skylines and that is why,spires on Nairobi skyscrapers have yielded fruits!Hass will go beyond the spires,and the war to the skies will not last any time soon in Nairobi skyline......
you are wrong,in terms of economy we lead East and central Africa,,,and we look at the spire to go beyond borders high in the sky..that is why we will always lead...because we know where we are headed to.Ooh man,spire on super skyscraper has nothing to do with with economic show off
Experience the tranquility,grandness and a western touch of Nairobi.......we go beyond borders
__________________![]()