ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nilijua umekuja kuokoa jahazi kumbe bogus hata bora Huyo wanjala maana alipoona amekosa jibu akabaki kimya kumaanisha kashindwa😀😀😀ichoboy01 hehehehe😀 tatizo ni kwamba hata uigeuze kuwa wimbo haitobadili mtiririko wa comment! Na hapo ndio patam 😀😀😀! Zaidi zaidi utajitekenya weeeee
Eti kenya airways inunue dreamliner dunia isijue 🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Hhahhahahha pumzika baba mm maswali yangu hua yako kimtengo sana na nilijua hili Bomu lazma uzae nalo😀😀😀😀