ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Shirika la kwenu alafu bado linakutesa 😀😀😀Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
Nilitegemea utakuja kutetea Shirika lenu kuniletea mambo niliomuagiza mwenzako kumbe wewe ndio kilaza bora ya yule aliekimbia 🙂🙂🙂🙂
Alafu sasa hvi unajifanya kubadilisha topics kwasababu uliona pale pagumu maana hili swali ukilijibu ndio umejijibu na swali lako 😛😛😛😛
Pumzika kaka usiwaze sana siulizi tena swali🙂🙂