Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa page ya 604
nimekuta page ya 721!!
du! Hizi mbio Balaa
 
Kwan swali umelijibu au unazuga njia ya kutokea hahhahahah so kwakifupi swali langu limekosa wakujibu 😀😀😀
Wanjala aliingia mtini sasa wewe unatafuta njia yakutokea 😛😛😛
So kwakifupi narudia tena kua kenya airways haijanunua ndege cash zote wamelease😀😀
Nimefunga ukurasa fungua mdahalo mwengine tuendelee🙄🙄🙄
Let's take baby steps.....
Kwa mfano nije kwako alafu uniambie umeua panya, je inaingia akilini kuniuliza ulipomuulia panya? Sasa utakapo niambia ulipomuulia yule panya nikabisha, hapo ndo itabidi nitoe maelezo.
Ok. Turudi kwenye kesi yetu, kama kuna mtu aliongelea Kenya airways kununua ndege cash inabidi umbane kama nilivyokubana hadi ukapata link na ishu tukamaliza...... sasa basi, Kwa vile sikuongelea ununuzi wa ndege, sina sababu ya kukesha kama ulivyokesha kutafuta link. Na kama kunasehem niliongelea ununuzi wa ndege naomba uweke hapa ilituendelee na mchakato utakaofata. Jitahidi sana usihamishe mada kama ulivyozoea ili tuweze kusonga mbele.
 
Nairobi
C-dnzBwUQAIPvRi.jpg

C-DnbJCU0AQ2ktm.jpg

C93b4fJXcAAhKFe.jpg

C9vuFz8XUAABUdr.jpg
 
Let's take baby steps.....
Kwa mfano nije kwako alafu uniambie umeua panya, je inaingia akilini kuniuliza ulipomuulia panya? Sasa utakapo niambia ulipomuulia yule panya nikabisha, hapo ndo itabidi nitoe maelezo.
Ok. Turudi kwenye kesi yetu, kama kuna mtu aliongelea Kenya airways kununua ndege cash inabidi umbane kama nilivyokubana hadi ukapata link na ishu tukamaliza...... sasa basi, Kwa vile sikuongelea ununuzi wa ndege, sina sababu ya kukesha kama ulivyokesha kutafuta link. Na kama kunasehem niliongelea ununuzi wa ndege naomba uweke hapa ilituendelee na mchakato utakaofata. Jitahidi sana usihamishe mada kama ulivyozoea ili tuweze kusonga mbele.
Tatizo lako unatafuta njia ya kutokea ila swali liko pale pale and wat I knew , nilijua umekuja kuokoa jahazi kwa wanjala na mm nilikua naimani utajibu swali ambalo mwenzio alikimbia,
Sasa nilijua bomu hilo la wanjala pengine wewe utalitegua kumbe kumbe maskini umekumbatia bomu limekubutua 😀😀😀
Na Mimi nilijua mapema kwenye swali langu ulikua hutoki kabisa nakwambia wazi ulikua hutoki 😛😛😛😛
Chamsingi swali langu halijajibiwa mpaka dakika hii so chamsingi kaka usiumize kichwa kujibu swali nakurahisishia kazi kua huna jibu lakijibu na hutakuanalo, short and clear🙂🙂🙂
Kama unamjadala mwengine leta tuendelee kwa hili ushafeli 🙄🙄🙄
 
Na huwezi kujibu nilijua mbona mapema😀😀😀😀😀😀😀😀

Haya sawa jamaa wa faculty of aviation! hehehehe Wapi kule? Moscow kwa Putin. Sina kesi na wewe! Link uliniletea na nikadhibitisha kwamba university hujawai kukanyaga. Tusubiri thread nyingine itakayo tukutanisha hehehe.
Kule Moscow si una washkaji mliosomanao faculty moja ya aviation?
 
Some guys just won abnormal amounts of money in Nairobi from Sportpesa, the first guy won 221,300,000 which is 4,800,690,309.10 TZS and another 41,000,000 which is 889,271,222.50 TZS rolling in the streets
C-z_R7jXYAEX_hL.jpg

C-z2BjwXsAAzQ3n.jpg

C-z3SEvXYAAyGaC.jpg

C-z0-A_XoAApETO.jpg

C-zxg4jWsAE_Esw.jpg

C-zxkMMXUAEO08C.jpg

C-zxOQFXoAE6saa.jpg
Hii number plate ni gani? ..ACE
 
Haya sawa jamaa wa faculty of aviation! hehehehe Wapi kule? Moscow kwa Putin. Sina kesi na wewe! Link uliniletea na nikadhibitisha kwamba university hujawai kukanyaga. Tusubiri thread nyingine itakayo tukutanisha hehehe.
Kule Moscow si una washkaji mliosomanao faculty moja ya aviation?
Nakwambia usibadilishe mada mm kusoma au kutosoma wewe hakuwezi kukusaidia 😀😀😀
Yangoswe mwachie ngoswe kwanza kama umeshindwa kujibu lile Bomu la wanjala bora upige kimya kwasababu yaonesha lile Bomu limekuuma sana  😛😛
Kitu kilichonifurahisha mm kua kenya airways inunue dreamliner cash dunia isijue 😀😀😀
Hapo ndo mimi Mimi nimechoka...... Nimewashikeni pabaya sana 😀 nilianza kupata hope ulivokuja kudaka Bomu nikajua unajua kumbe kilaza bora yule aliekimbia bomu🙄🙄
 
Bentley Showroam in Kenya
Bentley-ke-1.jpg
Wanjala, hahahahhaahahha siniliwaambia huyu lazma atudanganye yani wakiona wamezidiwa lazma utawaona wanabadilidi njia....
Uongo na sifa ndio jadi yao 😛😛😛
Hydrogen saidia ndugu yako🙂
Screenshot_2017-05-03-08-22-44.png
 
Nakwambia usibadilishe mada mm kusoma au kutosoma wewe hakuwezi kukusaidia 😀😀😀
Yangoswe mwachie ngoswe kwanza kama umeshindwa kujibu lile Bomu la wanjala bora upige kimya kwasababu yaonesha lile Bomu limekuuma sana  😛😛
Kitu kilichonifurahisha mm kua kenya airways inunue dreamliner cash dunia isijue 😀😀😀
Hapo ndo mimi Mimi nimechoka...... Nimewashikeni pabaya sana 😀 nilianza kupata hope ulivokuja kudaka Bomu nikajua unajua kumbe kilaza bora yule aliekimbia bomu🙄🙄
Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
 
Lilikua LA wanjala ukaamua kulichukua wewe ndio maana nikakuuliza unajua swali lililokua hewani heheheh kumbe Bomu mwenzako kalikwepa maksudi kabisa😛😛😛😛😛😛
Tatizo lako ulikuja speed sana 😀😀😀😀
Sio kila jambo unalivamia mengine unakuja kwa adabu hahahhahaa😀😀😀
Wewe huna chakunibana au kunifundisha
Punguza wenge kaka
Lini kenya airways wanunue dream liner dunia isijue kwa sifa mlizokua nazo😀😀😀
Akili kichwani mwako.....🙄🙄🙄🙄
Kuripukiwa na Bomu inaumaa alafu Bomu lenyewe hulijui limetokea wapi😛😛😛😛😛😛
 
Lilikua LA wanjala ukaamua kulichukua wewe ndio maana nikakuuliza unajua swali lililokua hewani heheheh kumbe Bomu mwenzako kalikwepa maksudi kabisa😛😛😛😛😛😛
Tatizo lako ulikuja speed sana 😀😀😀😀
Sio kila jambo unalivamia mengine unakuja kwa adabu hahahhahaa😀😀😀
Wewe huna chakunibana au kunifundisha
Punguza wenge kaka
Lini kenya airways wanunue dream liner dunia isijue kwa sifa mlizokua nazo😀😀😀
Akili kichwani mwako.....🙄🙄🙄🙄
Kuripukiwa na Bomu inaumaa au Bomu lenyewe hulijui limetokea wapi😛😛😛😛😛😛
Unafumbia macho?! He he he.... nilishakuambia hata uifanye wimbo na uitolee CD, fact will remain kuwa fact. And you can't do anything about it hata ufumbe macho... ukifumbua unakutana nalo tena he hehe...
ebu fumba tena!
Haya, fumbua.......

Back
Top Bottom