ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nani ajibu wewe au 😀😀🙂🙂🙂 muda wote unalia hapa na Bomu alaf useme swali litajibiwa hahhhahaha kapumzike ndugu tu😛😛😛Swali mi naamini utajibiwa tu wala usiwe na presha atakua anakutafutia. Mimi sina MB za kuchezea kuanza kurukia assignment za watu. Alafu ujue nini unanifurahisha kitu kimoja Hehehe..... unayvokwepa swala la elimu!!!! Hata uligusiii!!!! Kwani elimu ilikukosea nini?
Saivi elim ni bure!! Haha haha au unaogopa kuzungusha tena?!
Sio kila ukionacho rahisi tu vingine sumu utakufa Mr kilaza plus maana kuna kilaza na kilaza plus 😀😀😀😀😀😀😀
Kapumzike tu baba 🙂🙂🙂🙂