Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,829
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,829 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,163
Points
1,500
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,163 1,500
Waende uganda sasa wakacheze uone kama watatoka salama na washatangaziwa vyuma nje nje
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
32,509
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
32,509 2,000

Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,743
Points
2,000
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,743 2,000
Hehehe,we unawafahamu wapokoti kweli? Hao jamaa hawana mchezo,labda museveni atume ndege zake za kivita huko karamojong kwenda kuspy hawa jamaa wakiingia huko bila hilo hawa pokoti watamaliza karamojong wote Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hao pokoti ni Warlords? Ama Immortals,
 
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,163
Points
1,500
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,163 1,500
Basi waende alaf waone sasa kwan tatizo liko wapi unafkiri waganda ni sawa na waturkana kila siku kuonewa tu
Jiliwaze mwaya,mbona m7 kasema shoot to kill? Maana amejaribu hao vijana wamelemea police wake sasa ameamua kuwatumia army.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Messages
1,163
Points
1,500
E

Engineer levi Devin

JF-Expert Member
Joined May 17, 2016
1,163 1,500
hawa wakenya ndio zao woga wa kusifu wahalifu, na hii tabia ndio iliyowalea mungiki. ngoja sasa uganda wawaoneshe dawa
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
32,509
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
32,509 2,000
Jiliwaze mwaya,mbona m7 kasema shoot to kill? Maana amejaribu hao vijana wamelemea police wake sasa ameamua kuwatumia army.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio ashatangaza vyuma nje nje munafkiri mutachezea nchi za watu hvi hvi , kama watu wenu wenyewe mumeshindwa usifkiri kwengine watashindwa pia

Endelea kujipa moyo kama vile mlivoingilia siasa za uganda wakat za kweny zinawatoa maviπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
32,509
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
32,509 2,000
hawa wakenya ndio zao woga wa kusifu wahalifu, na hii tabia ndio iliyowalea mungiki. ngoja sasa uganda wawaoneshe dawa
Wao wanafkiri uganda itabaki kuwaangalia tu heheh mseven ameshatangaza chuma nje nje sasa subiri waone

Unajua wakenya ni watu waajabu sana sasa kama wangekua tushio kwann alshabab wanawatoa uharoπŸ˜†πŸ˜†
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
32,509
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
32,509 2,000
Bandits ambao wanapenda mchezo wa guerillas,na wanaelewa terrain hiyo vema kushinda Ugandan security kitakua kibarua kigumu kiasi sio rahisi hivyo.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Subiri utajuonea mwenyewe unafkiri mseven atawachekea au unafkiri uganda haina historia ya vita heheh endelea kujipa matumaini
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
32,509
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
32,509 2,000
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kazi ya wapokot kenya ni kuwaua waturkana na kuchukua mali zao sasa munafkiri na kwengine wataenda kufanya hvo hvo alaf wachekewe,

Museven safari hii kawabana ipasavyo hamuna hamu nae mpaka mlifkia hatua ya kuingilia siasa za uganda wakat siasa za kwenu ni mavi ya kukuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
2,702
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
2,702 2,000
Nikisikia al shabab alafu naona pia wanataka kuingia kwenye misitu minene ya congo kwenda kuwindana na Adf nalu nawashangaa sana aise
Wao wanafkiri uganda itabaki kuwaangalia tu heheh mseven ameshatangaza chuma nje nje sasa subiri waone

Unajua wakenya ni watu waajabu sana sasa kama wangekua tushio kwann alshabab wanawatoa uharo
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
32,509
Points
2,000
ichoboy01

ichoboy01

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
32,509 2,000
Nikisikia al shabab alafu naona pia wanataka kuingia kwenye misitu minene ya congo kwenda kuwindana na Adf nalu nawashangaa sana aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Alshabab ukiwachokoza ndio wana deal na ww lakini kama hukuwachokoza hawana time na ww, kenya iliwafata kwao kupigana ndio maana wanajambishwa kila mara na vipigo vitakatifu
 
Godwin Gen

Godwin Gen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2017
Messages
589
Points
1,000
Godwin Gen

Godwin Gen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2017
589 1,000
Godwin Gen: acha longolongo braza sio mara ya Kwanza m7 kutoa Hilo agizo hao pokoti amejaribu kuwazua kwingia kule kwake ameshindwa,huwezi linganisha pokoti bandits na mungiki utakua hujielewi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
By the way hivyo vibandits ni ushahidi mojawapo kuwa kenya chakula ni shida thats y wanaenda kuiba uganda
 
Forum statistics

Threads 1,285,567
Members 494,675
Posts 30,867,097
Top