Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi Limuru, the green city in the sun
C-z2ip8VYAAYPhR.jpg
C-yzpMbUQAAcL1j.jpg
 
Britam is getting amazing illumination at night even before completion. Nairobi is the emerging most beautiful global city
Yw0TbQNK18A7-ET0uNj6s2T8arRzgPwy1759gDL7qATpLDHOS-YQoBMLgosikYhVby0gkJ_oRbxYC6VNrQ44SM4SmNYTRLJo4WXa74GNW2rQx3SM3vAvyCBfnSAyWPc8-0-Aai91fFYo_nuUVUan6DmbLd6I6dwz8juTTS1n_mUdaezeYWslNNUG8aesGa-wKSqqGlEGlmCbkYaxzYPbyAytHiOs0fjq7iwBAGMuP4XlwXZIOWolZ7BCrpKQW64fGF-1njwtxtz8QBfqjL301_KRQncCgyWcUPzlMDcB5GtaaZSS0R9wFuzQXdaS2WL8SXaQ4VZSmm72AeifouX70LQq0BKjnd1xc2TlVT31n3WnIFgT2hBI6hCoxMopSNNG8M4FzFjh-pZXOgZ1YbObbuLc67KJQ-vEzn2n66X4fOaO-tdtwYrkZblB1nG31zwPD--ukpF_VqGtmWAT1g5eqZcylzn-vpA1X1a1ZZtN6lOrsAGh3PSKTPT6-GExiB_1VqJSKSiC1e2bPaSrttxXkZqwMKq7RxlYCB9tzWvaDI77iaGLqhq7iPoPrJ54y80S-CBcrp_YxJE-mBgTIC1m8MdkjigRGPqfK2EsUnD0KBe5RG_R=s918-no
 
Ila mambo ya kujitia sifa kuwadanganya watu humu ndani kua kenya airways imenunua dreamliner cash... Am sorry bro....BIG NO😀😀😀😛😛😛😛😛😛
Ukiongea kitu lazima uwe tayari kui-backup. ulisema wamekodi nikataka kujua wamekodi kutoka kwa nani, swali ambalo ulilijibu pamoja na kuruka hapa na pale. Kwenye hili nipo nawewe. Saivi najua dremliners Kenya airways wamekodi kutoka BOC thanks to you. Ila Kwa vile sijawai kuongelea ununuzi wa ndege cash au mkopo nta-assume huniambii mimi.
 
Mm kua engineer au kutokua wewe huwez kuamulia chochote hapo ila naimani kuelewa umeelewa na hio ndio ilikua nia yangu😀😀😀😀
Ngoja nikuache but there is no possible way you could be an engineer. That's not a title you just pick up on your leisure walks! So please keep off and have some respect!
 
Hahahahhahahha pole sana bro ukweli mm kua au kutokua naujua mimi😀😀😀
Mm nashkuru umeelewa ndio napofurahi hapo🙂🙂🙂🙂🙂
 
Ukiongea kitu lazima uwe tayari kui-backup. ulisema wamekodi nikataka kujua wamekodi kutoka kwa nani, swali ambalo ulilijibu pamoja na kuruka hapa na pale. Kwenye hili nipo nawewe. Saivi najua dremliners Kenya airways wamekodi kutoka BOC thanks to you. Ila Kwa vile sijawai kuongelea ununuzi wa ndege cash au mkopo nta-assume huniambii mimi.
Hayo mm ndio uniletee kama unajua sasa nilikuomba official source wewe pamoja na mwenzako wanjala ila masikini ya Mungu sijapata hata information za kudanganya au za uongo😀😀😀😀😀😀
Tatizo lako ulivamia swali usilolijua na mm nilijua hamuna jibu na lile lilikua Bomu la wanjala ndio maana mpaka leo kapita wima 🙂🙂🙂🙂
Sasa umeenda kudaka Bomu LA mwenzako linakuhangaisha mpaka kesho😛😛
 
huwezi ukasoma nje miaka4 unarudi hata hujui majina ya faculty za chuoni Kwako!
faculty within business, Yes! lakini sio business faculty. Mtu alieenda university hatakiwi kuongea vitu kama business faculty ama aviation faculty!
mambo ya aviation, sawa! lakini Technically hawezi kusema nimesomea faculty ya aviation wakati hata chuoni Kwake hakukua na faculty inayoitwa faculty of aviation.
hii sentensi... seriously?!! Mambo ya aviation!! This is soo vague! Hii sio sentensi ya mtu aliesota darasani to earn an engineering degree, trust me I know what it takes to be an engineer. zaidi zaidi ni kama namskiliza kijana wa kijiweni! Yani unamaneno lakini hakuna content hata kidogo. Kwa kifupi umejaa tell tale signs, I seriously doubt hata kama ulienda any university.
Haya nimesema hvo so wewe shida yako nini au kipi kinachokuuma hapo au usichoelewa..
Mm kwenda university au kutokwenda we hakuwezi kukusaidia kitu tatizo lako unajaribu kukwepa swali language uonekane hujashindwa hahahhahahah ilaa sasa kaka mm swali langu huwezi kulijibu ndio maana nilikwambia lile lilikua Bomu la mwenzako sasa umelivamia wewe limekushinda unaanza kuzungusha mada hahahhahahha
Chamuhimu pumzika hakuna kukwepa swali hapa
😀😀😀😀😀😀😀
Unajifanya mjuaji alaf hakuna ulijualo mm nilifurah nikajua umekuja kumsaida wanjala kumbe aliekimbia ameonekana anaakili 😛😛😛
Pumzika baba......😀😀😀😀😀
 
Ngoja nikuache but there is no possible way you could be an engineer. That's not a title you just pick up on your leisure walks! So please keep off and have some respect!
Keep off au sio hahhaahhha pumzika kaka...
😀😀😀😀😀😀😀
Maana we ndo umekua proffesor wa dunia 😛😛😛😛
Yani unahangaika kisa swali hilo
Basi kaka siulizi tena swali hilo kwanzia leo😛😛😛
Tumemaliza 😀😀😀😀
 
Hahahahhahahha pole sana bro ukweli mm kua au kutokua naujua mimi😀😀😀
Mm nashkuru umeelewa ndio napofurahi hapo🙂🙂🙂🙂🙂
Hehehe...Kwenye ndoto zako labda😎 ila kiuhalisia huwezi ukawa coz kuna kitu muhimu sana inabidi uwe nacho ndo unaweza ukafikia hatua hiyo but clearly you don't got it.
 
Guys we are all East Africans share so much in common the Idea is good but the types of comments flowing are not helping and altogether we are an embarrassment.. Neither Nairobians or Bongo guys will be seen wiser than the others...
Cha kufanya Tuelimishane kipi kimepiga hatua huku na kule bado..tujifunze changamoto tulizokulia na tutafte njia bora za kutatua kero za miji yetu...Mshindi Wa moja kwa moja hawezi patikana kwa sababu mazingira,vigezo na takwimu zinazotumika pia zote ni changamoto pia...Nawasilisha
 
Keep off au sio hahhaahhha pumzika kaka...
😀😀😀😀😀😀😀
Maana we ndo umekua proffesor wa dunia 😛😛😛😛
Yani unahangaika kisa swali hilo
Basi kaka siulizi tena swali hilo kwanzia leo😛😛😛
Tumemaliza 😀😀😀😀
Keep off engineers huo uwanja huwezi ukachezea ndo ninachokuambia tafuta fani size yako... jamaa wa faculty of aviation😀😀
Swali gani umeuliza?
 
N
Haya nimesema hvo so wewe shida yako nini au kipi kinachokuuma hapo au usichoelewa..
Mm kwenda university au kutokwenda we hakuwezi kukusaidia kitu tatizo lako unajaribu kukwepa swali language uonekane hujashindwa hahahhahahah ilaa sasa kaka mm swali langu huwezi kulijibu ndio maana nilikwambia lile lilikua Bomu la mwenzako sasa umelivamia wewe limekushinda unaanza kuzungusha mada hahahhahahha
Chamuhimu pumzika hakuna kukwepa swali hapa
😀😀😀😀😀😀😀
Unajifanya mjuaji alaf hakuna ulijualo mm nilifurah nikajua umekuja kumsaida wanjala kumbe aliekimbia ameonekana anaakili 😛😛😛
Pumzika baba......😀😀😀😀😀
nimekukamatia uongo sasa umerudi kuleee..... povu land hehehe.
Are you even aware that I have taken you on a joy ride?! Probably not🙄
 
Keep off engineers huo uwanja huwezi ukachezea ndo ninachokuambia tafuta fani size yako... jamaa wa faculty of aviation😀😀
Swali gani umeuliza?
Unajifanya hukuskia swali au umelikwepa????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hehehe...Kwenye ndoto zako labda😎 ila kiuhalisia huwezi ukawa coz kuna kitu muhimu sana inabidi uwe nacho ndo unaweza ukafikia hatua hiyo but clearly you don't got it.
Kwakwakwa professor wa dunia hahhahahha
Bomu limekuripukia unatafuta njia ya kutokea 😀😀😀😀😀
Bomu la wanjala umelikombatia wewe sasa umeona mambo magumu unaleta zuga😛😛😛
 
N
nimekukamatia uongo sasa umerudi kuleee..... povu land hehehe.
Are you even aware that I have taken you on a joy ride?! Probably not🙄
Kwan swali umelijibu au unazuga njia ya kutokea hahhahahah so kwakifupi swali langu limekosa wakujibu 😀😀😀
Wanjala aliingia mtini sasa wewe unatafuta njia yakutokea 😛😛😛
So kwakifupi narudia tena kua kenya airways haijanunua ndege cash zote wamelease😀😀
Nimefunga ukurasa fungua mdahalo mwengine tuendelee🙄🙄🙄
 
Guys we are all East Africans share so much in common the Idea is good but the types of comments flowing are not helping and altogether we are an embarrassment.. Neither Nairobians or Bongo guys will be seen wiser than the others...
Cha kufanya Tuelimishane kipi kimepiga hatua huku na kule bado..tujifunze changamoto tulizokulia na tutafte njia bora za kutatua kero za miji yetu...Mshindi Wa moja kwa moja hawezi patikana kwa sababu mazingira,vigezo na takwimu zinazotumika pia zote ni changamoto pia...Nawasilisha
Labda mm nijibu kwakifupi sana mambo mengi yaliyo bongo nairobi hakuna na mambo machache yaliyo nairobi dar hakuna
 
Back
Top Bottom