Listen to yourself, who sound pathetic?Reaching a point that you think a dust storm is an attraction makes you people so pathetic! find something new to brag about
Listen to yourself, who sound pathetic?Reaching a point that you think a dust storm is an attraction makes you people so pathetic! find something new to brag about
Hakuna nchi isojitahidi na sasa tanzania kwenye infastructures ipeni njia ipite tu
Hapo sawaVidaraja vya hapa na paleView attachment 1026180View attachment 1026182
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ajee ajee,,,?..mnaonaje baadhi ya train station zetu zilivyo..?...
Ila kwa hii ya dar ni kiboko yao dunia najua imewanyoosha manyang'au
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwwakuwa mradi bado unaendelea kuna kitu inabidi kifanyike....Nimeziona kwenye renders lakini sijazifurahia, zingine naona ni ndogo, structures hazivutii kwa kifupi sioni viwango.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijui kama kuna kitu watafanya tena sababu naona hii design wanayojenga ni matokeo ya kufuta design ya kwanza kama zinavyoonekana hapo. View attachment 1026444View attachment 1026445
Sent from my iPhone using JamiiForums
For the millionth time or If you have eyes to read, you are pathetic!Listen to yourself, who sound pathetic?
Ndugu vituo vya soga na pugu ni vidogo kwasababu ya location yake na pia kwasababu capacity ya abiria itakayohudumia coz hatuwezi kujenga kituo cha kuhudumia abiria 1m wakat capacity yake ni 100k tutakua tunatumia vibaya pesa zetu mm nafkiri serekali iko makini sana kwa hili na wako sahihi
Naona umehama mpaka mombasa dongo kundu😂😂😂😂👇👇👇👇
Safi. Sahvi TZ hatutaki vitu vya ovyo.Sijui kama kuna kitu watafanya tena sababu naona hii design wanayojenga ni matokeo ya kufuta design ya kwanza kama zinavyoonekana hapo. View attachment 1026444View attachment 1026445
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli ila wasitoe boko wafanye stations ziwe za kibabe,,mfano ya pugu ndiyo ni kidogo lakini tunahitaji design zenye muonekano bomba...Sijui kama kuna kitu watafanya tena sababu naona hii design wanayojenga ni matokeo ya kufuta design ya kwanza kama zinavyoonekana hapo. View attachment 1026444View attachment 1026445
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli hili silipingi ila wasitutengenezee simple rush design inabidi watutengenezee design bomba hata kama ni vidogo...pia hata ile ya moro inabidi watutandikie building matata konkiNdugu vituo vya soga na pugu ni vidogo kwasababu ya location yake na pia kwasababu capacity ya abiria itakayohudumia coz hatuwezi kujenga kituo cha kuhudumia abiria 1m wakat capacity yake ni 100k tutakua tunatumia vibaya pesa zetu mm nafkiri serekali iko makini sana kwa hili na wako sahihi