dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
ngoja nikakuangilie kwenye cctvbrother last week i was in mwanza town and rock beach garden was my place where i stayed for six days
hakika ni sehemu moja nzuri na ya kijanja sana kwa mtu anayependa utulivu. mida ya jioni nilikuwa naenda kujipatia "moja moto moja baridi" pale juu kwenye pub yao ambayo imejengwa katikati ya mawe makubwa.
nimedhamiria kwamba kila ninapotembelea jiji la mwanza, lazima nifike rock beach garden.
hizi ni picha nilizopiga kwa simu yangu. na anayeonekana kwenye picha ni mimi kadoda11. samahani kwa ku-filter sura yangu.
View attachment 1014861View attachment 1014862View attachment 1014863
kitochi

