mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
brother last week i was in mwanza town and rock beach garden was the place where i stayed for six days
hakika ni sehemu moja nzuri na ya kijanja sana kwa mtu anayependa utulivu. mida ya jioni nilikuwa naenda kujipatia "moja moto moja baridi" pale juu kwenye pub yao ambayo imejengwa katikati ya mawe makubwa.
nimedhamiria kwamba kila ninapotembelea jiji la mwanza, lazima nifike rock beach garden.
hizi ni picha nilizopiga kwa simu yangu. na anayeonekana kwenye picha mimi kadoda11. samahani kwa ku-filter sura yangu.
View attachment 1014861View attachment 1014862View attachment 1014863
oohooo.... hatari fire... isokeee(kwa sauti ya piere chapombe wa liquid pub).View attachment 1014991
Kumekucha
usijari kaka, nime-save hilo jina ili nikijia mwanza iwe rahisi kupafahamu.Next Time,
Visit Wag Hill Beach in Mwanza. You won't regret mkuu
hahahaha... hakuna namna bro.Aisee utani wa ngumi huu! Ila ana miguu mitamuu...!
Mkuu mbona kama naifananisha hii sehemu na scene ya movie ya Hollywood? Pamekaa poa sana!!!!!
Hakuna kulalaView attachment 1014991
Kumekucha
Walikua wanatumia vivutio vya Tanzania kudai viko kwao,now watalii ngastuka so mungiki wategemee kupata tabu sana kadri miaka inavyokwendaWakenya wanapata wivu sana.
Hii kitu inawauma roho sana wazee wa slums,yan kimoyo moyo hawataki kuamini huu mradi upo Tanzania!dakika chache zilizopita citizen tv ya kenya, ilikuwa inarusha makala maalumu iliyoangazia mfumo wa mabasi ya mwendo kasi(BRT) wa dar es salaam na namna gani mfumo huo unaweza kutumika nairobi ili kupunguza foleni ya magari barabarani.
licha ya mbwembwe zao, kuna baadhi ya vitu wanajifunza kwetu.
View attachment 1013571View attachment 1013572View attachment 1013573View attachment 1013574View attachment 1013575View attachment 1013576View attachment 1013577View attachment 1013578
safari hii maumivu yao yatakuwa twice. mradi wa brt phase two kwa barabara ya kilwa road upo mbioni kuanza.Hii kitu inawauma roho sana wazee wa slums,yan kimoyo moyo hawataki kuamini huu mradi upo Tanzania!
Nasikia wakati hii brt phase 2 ipo 50% kuna phase 3 itaanza mandela road mpaka g'mboto (gomz)safari hii maumivu yao yatakuwa twice. mradi wa brt phase two kwa barabara ya kilwa road upo mbioni kuanza.
Nyingine hio👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿tanzania ni nchi ya kwanza east and central africa kuwa na mahakama inayotembea(mobile court unit).
mahakama hii ina facility zote zinazohitajika kuendeshea mashtaka.
hongera tanzania kwa kuanza halafu wao wanafata.
View attachment 1014903
one big project after another... hakuna kulala... hapa kazi tu.Nasikia wakati hii brt phase ipo 50% kuna phase 3 itaanza mandela road mpaka g'mboto (gomz)




Yes BRT phase 3 and 4 ni loan kutoka world bank na zote zinategemewa kuisha before 2024Nasikia wakati hii brt phase ipo 50% kuna phase 3 itaanza mandela road mpaka g'mboto (gomz)