ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Yap👇👇👇👇
😂😂😂 wakenya ni ngumu kustahmiliMmamae a fantasy wonderland somewhere near paradise 🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
dakika chache zilizopita citizen tv ya kenya, ilikuwa inarusha makala maalumu iliyoangazia mfumo wa mabasi ya mwendo kasi(BRT) wa dar es salaam na namna gani mfumo huo unaweza kutumika nairobi ili kupunguza foleni ya magari barabarani.
licha ya mbwembwe zao, kuna baadhi ya vitu wanajifunza kwetu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1013571View attachment 1013572View attachment 1013573View attachment 1013574View attachment 1013575View attachment 1013576View attachment 1013577View attachment 1013578

👏👏👏👏👏hatari hii.