Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mungiki wanajifanya wanajua kupiga kelele mitanadaoni na huku wachina na wamarekani wanatumia mbinu iliopo wazi. Ni kama mtu anakutusi halafu anakuja kubisha hodi unamfungulia

RulePoorAfrrican.png

Source: https://www.quora.com/What-if-someone-wanted-to-invade-Africa
 
Bro sometimes majivuno yenu yanafanya tuwachukulie ni watu flani hivi mmemaliza kila kitu,kumbe ni wapuuzi wachache mnabadili taswira ya wakenya wote.

Kuna mjinga mmoja aliishawahi andika hapa kwamba the mighty kdf imeweza kuwanyamazisha kabisa alshabaab,tofauti na tpdf inayohangaika na waasi wenye mapanga huko congo drc,nilichoona kwamba ushabiki ummemeza amehamia katika mambo asiyoyajua.

Poleni sana tuko pamoja katika hali hii mbaya,ila tu akiba ya maneno kwenye kila jambo ni muhimu,ili tusije ulizana tena maswali ya kijinga wakati mbaya kama huu.

Okay acha tupambane na hali yetu
 
Kwan marekani aliposema tanzania haipo salama kisa ushoga mlikua munashabikia nini???? So pamabaneni na wanaume hao walikua wanne tu ila wamesmamisha nchi nzima na kuwakamata hamujawakamata

Tanzania si salama kisa mashoga wanaandamwa,mkenya anashangilia.

Mkenya kaweka mazingira salama kwa wanyanduliwaji vinyeo,ila warengwa wa ugaidi sio habari waende tu wakapasuliwe kama wanataka.
 
Who told you kenya supports homosexuality
And how does USA issuing travel warnings to tz affect kenya how does it relate to kenya terrorist attacks
 
Tanzania si salama kisa mashoga wanaandamwa,mkenya anashangilia.

Mkenya kaweka mazingira salama kwa wanyanduliwaji vinyeo,ila warengwa wa ugaidi sio habari waende tu wakapasuliwe kama wanataka.
Kenya doesn't support homosexuality
I don't where you got that
 
Back
Top Bottom