Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,659
- 4,386
sasa wenyewe ndio wapi zama za kutafuta ushawishi na kujenga umoja wa kitaifaHakika hapo umenena, kweli pongezi ziwaendee, uzuri wa Tanzania hua haikurupuki, tulifikia hatua ya kutengwa EAC lakini maamuzi yetu mpaka leo yana mantiki ya hali ya juu.
al shabab anawauwa china nae anakatalia mkopo
na palipo na tishio la ugaidi no utalii na uwekezaji unaweza kupungua
Sent using Jamii Forums mobile app

