Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You must be enjoying Kenyan terrorist attack

Bro sometimes majivuno yenu yanafanya tuwachukulie ni watu flani hivi mmemaliza kila kitu,kumbe ni wapuuzi wachache mnabadili taswira ya wakenya wote.

Kuna mjinga mmoja aliishawahi andika hapa kwamba the mighty kdf imeweza kuwanyamazisha kabisa alshabaab,tofauti na tpdf inayohangaika na waasi wenye mapanga huko congo drc,nilichoona kwamba ushabiki ummemeza amehamia katika mambo asiyoyajua.

Poleni sana tuko pamoja katika hali hii mbaya,ila tu akiba ya maneno kwenye kila jambo ni muhimu,ili tusije ulizana tena maswali ya kijinga wakati mbaya kama huu.
 
mmarekani alivyo mnafiki, alitoa travel warning kwa tanzania akasahau kutoa travel warning kwa kenya. matokeo yake leo imechapwa na terrorists.
MK254 alifurahi sana hii siku.

View attachment 995527

Huyo mende nilimdharau sana since that day,sijui wakenya wote wana akili kama za huyu mdudu!!!

Akasifu kabisa kwamba kdf wamemaliza story za alshabaab.wangekiwa tz tungepata shida.
 
wewe sio wa kwanza kuja na maoni kama hayo, thread ilianzishwa mwaka 2017, mpaka sasa ina miaka mitatu na mpaka sasa imetembelewa mara milioni nne(4 million views).

washatokea watz na wakenya wengi wenye maoni kama hayo, lakini moderator kwa kutumia hekima yake, ameyapuuza.

nina hakika, maoni yako pia yatapuuzwa.


haya rudi jukwaa la mahusiano ukaendelee kujadili kuhusu masuala ya mapenzi.

karibu tena.
View attachment 995494View attachment 995495View attachment 995496
😀😀😀😀😀
 
Eti mpuuzi mmoja ananiijia hadi Pm
Kilicho mkuta hana hamu
Walijifanya kushoboka Mmarekani amlinde Nyani mkenya kwa lipi
hahahaha....yule kilaza inafaa ajue kwamba wanaume wakweli hapa jf ambao taifa linawategemea hawashindi jukwaa la mahusiano kujadili masuala ya kujamiiana.
IMG_20190115_204615.jpeg
IMG_20190115_204736.jpeg
IMG_20190115_204845.jpeg
 
kenyan authorities are trying to control the media about the publishing of news that is related with the attack.

it's too late though, alshabab terrorists have already claimed that they are the one behind this it.
IMG_20190115_213934.jpeg
IMG_20190115_213812.jpeg
 
Back
Top Bottom