mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
Kenya doesn't support homosexuality
I don't where you got that
Mlisema tukae kimia,nyoka ikiingia ndani utulie labda unataka ikule panya.
Kenya doesn't support homosexuality
I don't where you got that
Wacha tuekane sawa maana wanaficha ukweli wakat uko wazi😂😂😂😂 Naona unajitahidi haswa
Huyu mpaka akuelewe ipo kaziWacha tuekane sawa maana wanaficha ukweli wakat uko wazi
Walisha zoeleka hao kwa kuficha nambaWacha tuekane sawa maana wanaficha ukweli wakat uko wazi
lile shambulio limeondoka na roho 48 mkuu ?Eti media ya kenya inadanganya watu 14 wamekufa wakat jana taarifa zimevuja aljazeera watu zaidi 48 wamekufa
Alaf wanadanganya wakenya wamewaua alshabab wakat miili yao haionekani na jamaa wameshasepa kitambo walikua watu 4 wanafanganya wameua sita
Chakushangaza picha za miili ya hao alshabab hawanadanganya toto au ramba lolo
R.I.P this time mmefanya kitu kizuriPang'ang'a achana nazoView attachment 996022View attachment 996023View attachment 996024View attachment 996025
Sent using Jamii Forums mobile app
Aljazeera jana wametangaza hvo ila nafkiri serekali ya kenya inaficha na kusema 14 tu
kama kawaida yao unakumbuka waliwai kuficha ile brigedi nzima iliyouwawa wakagoma kutoa idadi mpaka leoAljazeera jana wametangaza hvo ila nafkiri serekali ya kenya inaficha na kusema 14 tu
hongereni kama kweli mmewaua maana hawa ndio dawa yao hiyo.Pang'ang'a achana nazoView attachment 996022View attachment 996023View attachment 996024View attachment 996025
Sent using Jamii Forums mobile app
kha ...sasa hizo ni za wapi...we mzima kweliFala anapost vitu vimefichwa anataka kuniambia eti hizi ni za TanzaniaView attachment 961538View attachment 961539
Acha upumbavu we jamaa..hizi ni plate za Polisi TanzaniaPT maana yake polisi tanzania 😂😂😂😂👇👇👇👇👇👇 usichanganyikiwe
View attachment 961547
WeweeNon of my business ila ni waoga
Oya we vp??? Sikuelew ujueAcha upumbavu we jamaa..hizi ni plate za Polisi Tanzania