Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told you kenya supports homosexuality
And how does USA issuing travel warnings to tz affect kenya how does it relate to kenya terrorist attacks
Mwandishi wenu wa habari ndie aliemleta yule mwandishi mzungu waliokamatwa nae pamoja akijifanya anauchungu na wanahabari wa TZ. Kwa ujumla nyie ndio mnaotuchongea kwenye dunia, kumbuka yule mwanahabari mzungu alisimama hadi kwenye bunge la ulaya kutupondea
 
Mkenya hataki kuona tanzania ikiendelea kwa namna yoyote na yuko tayari afanye lolote lakin sasa bahat mbaya kwao safarii hii wamekutana na chuma 😂😂😂😂😂
 
Tanzania si salama kisa mashoga wanaandamwa,mkenya anashangilia.

Mkenya kaweka mazingira salama kwa wanyanduliwaji vinyeo,ila warengwa wa ugaidi sio habari waende tu wakapasuliwe kama wanataka.
Vita vya somalia, mkenya ndio alivitafuta mbele ya mgongo wa america sasa leo hii huyo america hana hata habari na kenya na chakushangaza gazeti la times newyork limeripoti watu waliouwawa kwa picha baadae wakaomba msamaha lakini ndio ishatapakaa
 
Eti media ya kenya inadanganya watu 14 wamekufa wakat jana taarifa zimevuja aljazeera watu zaidi 48 wamekufa

Alaf wanadanganya wakenya wamewaua alshabab wakat miili yao haionekani na jamaa wameshasepa kitambo walikua watu 4 wanafanganya wameua sita

Chakushangaza picha za miili ya hao alshabab hawana👇👇👇👇👇 danganya toto au ramba lolo
 
Eti media ya kenya inadanganya watu 14 wamekufa wakat jana taarifa zimevuja aljazeera watu zaidi 48 wamekufa

Alaf wanadanganya wakenya wamewaua alshabab wakat miili yao haionekani na jamaa wameshasepa kitambo walikua watu 4 wanafanganya wameua sita
Pang'ang'a achana nazo
IMG-20190116-WA0004.jpeg
IMG-20190116-WA0003.jpeg
tapatalk_1547625748839.jpeg
IMG_20190116_104631.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wengine wakwapi endeleeni kudanganya wamekufa 14 wakat mpaka jana watu 48 wamekufa na majeruhi zaidi ya 100 endeleeni kudanganya watu wenye akili sasa
Ebu leta penye umeona imeandikwa 100 ama 48. The attackers were around six if not 5. One blew himself and others killed. Mwenye alijilipua ndo huyu hapa
IMG-20190115-WA0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigo kubwa sana kwa investors , international diplomatic people pamoja na tourism sector yani jamaa wameenda kulenga sector tatu kwa mpigo maana wamegusa international offices, wamegusa hotel ya tourists na wamegusa ofisi za wanadiplomasia lazma mukubali ni pigo kubwa sana watu wanne wamesimamisha nchi siku nzima
That's what you said during the Westgate attack in 2013 but investors, tourist and international diplomatic people are still coming. Dar can't replace Nairobi as the giant of East Africa no matter what.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu leta penye umeona imeandikwa 100 ama 48. The attackers were around six if not 5. One blew himself and others killed. Mwenye alijilipua ndo huyu hapaView attachment 996030

Sent using Jamii Forums mobile app
Usidanganye watu hio ni explosion ya bomu kutoka kwa alshabab ndio ikauwa watu na kuchoma magari 👇👇👇👇👇👇

Usijipe matumaini kwenye hakuna

That's what you said during the Westgate attack in 2013 but investors, tourist and international diplomatic people are still coming. Dar can't replace Nairobi as the giant of East Africa no matter what.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahha dar haitakamatika mpaka yesu ashuke endeleeni kupambana na kigali wakat kigali inakutoeni jasho 😂😂😂😂😂

Endeleeni kukimbiza upepo 👏👏👏👏
 
Ahh!! watanzania,, yani wengine wenyu wanafurahia (ichoboy01) wakati sisi tunauzunika. Naona hii mtandao wa Jamii Forums tumepoteza, na ni chuki tuu. God Bless Kenya
 
Ahh!! watanzania,, yani wengine wenyu wanafurahia (ichoboy01) wakati sisi tunauzunika. Naona hii mtandao wa Jamii Forums tumepoteza, na ni chuki tuu. God Bless Kenya
Hakuna mtu anafurahia ila msitake kudanganya watu hapa isiwe kigezo cha kudanganya wenye macho pia
 
Back
Top Bottom