Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,886
- 12,948
Oh my god, poleni sana wakenya
Tuliambiwa juzi wa marekani wamejenga kambi alshabebi watakionaThis is actually so sad
View attachment 995387
Niupumbavu kufurahia wanaume wenzie wakiweka kambi kwenuTuliambiwa juzi wa marekani wamejenga kambi alshabebi watakiona
Hawa watu wapuuzi sana hata ugomvi na alshabebi wameutaka wenyewe, Tanzania ilikua na busara sana kutoshiriki hivi vita vilivyopangwa sababu ya soko la silaha la marekaniNiupumbavu kufurahia wanaume wenzie wakiweka kambi kwenu
Kwamba utalindwa hovyo kabisa
pongezi za dhati ziende kwa mwalimu julius na TISSHawa watu wapuuzi sana hata ugomvi na alshabebi wameutaka wenyewe, Tanzania ilikua na busara sana kutoshiriki hivi vita vilivyopangwa sababu ya soko la silaha la marekani
Trump approves sale of Sh43.5 billion weapons to KDF
Wanamgambo wa alshabebi wana ugomvi na serikali yao ambao marekani wana mkono wao, mchuma janga hula na wa kwao
Nipe sababu Comrade.pongezi za dhati ziende kwa mwalimu julius na TISS
una jua kwanini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mmarekani alivyo mshenziHawa watu wapuuzi sana hata ugomvi na alshabebi wameutaka wenyewe, Tanzania ilikua na busara sana kutoshiriki hivi vita vilivyopangwa sababu ya soko la silaha la marekani
Trump approves sale of Sh43.5 billion weapons to KDF
Wanamgambo wa alshabebi wana ugomvi na serikali yao ambao marekani wana mkono wao, mchuma janga hula na wa kwao
Pole yaniniPole sana majirani
kwa tiss kumshauri raisi kutokuingilia huo ugomviNipe sababu Comrade.
mzee baba weka akiba tuwape pole kwanza kwa msiba huoAlafu mmarekani alivyo mshenzi
Akatoa Onyo kwa raia wake kuitembelea Tanzania kisa ushoga
Akaacha Wanaume wa Alshbb wakijiandaa kuingia Kenya
Mikenya nimipumbavu sijapata kuona
Tye tye
dah ila kweli aiseTye tye
Mikenya mijinga
Kutwa kusifia Kambi ya Marekani
huku ikijisahau kujilinda niyape pole yanini
Wakenya ni malimbukeni, walijiona wapo level moja ya ubepari pamoja na US na NATO, wa bunge wengi wa Kenya walikataa na US iliwaahidi watakua bega kwa bega kwenye hii vita, matokeo yake wameachiwa zigo lote jumba bovu limewaangukia, alshabaab wanawauwa wakenya na wakenya wananunua silaha kwa mabilioni kushughulikia vita walioingia marekani.Alafu mmarekani alivyo mshenzi
Akatoa Onyo kwa raia wake kuitembelea Tanzania kisa ushoga
Akaacha Wanaume wa Alshbb wakijiandaa kuingia Kenya
Mikenya nimipumbavu sijapata kuona
Hakika hapo umenena, kweli pongezi ziwaendee, uzuri wa Tanzania hua haikurupuki, tulifikia hatua ya kutengwa EAC lakini maamuzi yetu mpaka leo yana mantiki ya hali ya juu.kwa tiss kumshauri raisi kutokuingilia huo ugomvi
wakenya wapo hatua ambayo tz ilishaipita miaka mingi nyuma(kipindi cha ukombozi wa nchi za sadc) hongera ziende kwa mwalimu
sasa wenyewe now ndio wanatafuta ushawishi kwa kujifanya wakombozi that why wanapatwa na magumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mmarekani alivyo mshenzi
Akatoa Onyo kwa raia wake kuitembelea Tanzania kisa ushoga
Akaacha Wanaume wa Alshbb wakijiandaa kuingia Kenya
Mikenya nimipumbavu sijapata kuona