mashallah mashallah...watoto wazuri mno. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kaka umetisha sana ni nomaa.....Terminal 2[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 992005View attachment 992007View attachment 992006View attachment 992008
Walikuwa wanazisema sana hizi nguo lakini kwa sasa wanaelewa yaani kadri zinavyozidi kuwa nyingi ndipo muonekano wa mavazi wazidi kuonekana mzuri zaidiWataelewa tu.
View attachment 992066
Wakenya huwa wanasema kwamba wanazo wao tu hizi bus[emoji2][emoji2][emoji2]
Kabla ya hapo Terminal 3 linazinduliwa. Then tuna wachota watu kutoka Bujumbura, Kampala, Harare na Lusaka wana ingia kwenye terminal kubwa zaidi ya zote E.A wanakunywa kahawa huku waki enjoy muonekano wa kisasa wajengo na kutizama bidhaa kwenye maduka ya kisasa then tuna wa peleka China, India, Thailand e.t.c. Sizani kama kuna mtu atataka apande Kq then akapitie kwenye terminal kuu kuu then apande ndege kuu kuu [emoji1]. Kama masikhara ila tuna enda kuwa na upper hand kwenye hili swala. Yajayo yanafurahishaNangoja uzinduzi wa SGR mwaka huu!
Hivi ni vitu vya kweli kabisa mapinduzi yakiuchumi ndiyo yashaanza sasa kila sector tunataka itawale Africa na dunia kwa ujumla....Kabla ya hapo Terminal 3 linazinduliwa. Then tuna wachota watu kutoka Bujumbura, Kampala, Harare na Lusaka wana ingia kwenye terminal kubwa zaidi ya zote E.A wanakunywa kahawa huku waki enjoy muonekano wa kisasa wajengo na kutizama bidhaa kwenye maduka ya kisasa then tuna wa peleka China, India, Thailand e.t.c. Sizani kama kuna mtu atataka apande Kq then akapitie kwenye terminal kuu kuu then apande ndege kuu kuu [emoji1]. Kama masikhara ila tuna enda kuwa na upper hand kwenye hili swala. Yajayo yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzinduzi wa sgr utaongozana na dreamliner part 2Nangoja uzinduzi wa SGR mwaka huu!
Kabla ya hapo Terminal 3 linazinduliwa. Then tuna wachota watu kutoka Bujumbura, Kampala, Harare na Lusaka wana ingia kwenye terminal kubwa zaidi ya zote E.A wanakunywa kahawa huku waki enjoy muonekano wa kisasa wajengo na kutizama bidhaa kwenye maduka ya kisasa then tuna wa peleka China, India, Thailand e.t.c. Sizani kama kuna mtu atataka apande Kq then akapitie kwenye terminal kuu kuu then apande ndege kuu kuu [emoji1]. Kama masikhara ila tuna enda kuwa na upper hand kwenye hili swala. Yajayo yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm so excited man nchi yangu nzuri sana Tanzania is moving forward speed of mwanga.Kabla ya hapo Terminal 3 linazinduliwa. Then tuna wachota watu kutoka Bujumbura, Kampala, Harare na Lusaka wana ingia kwenye terminal kubwa zaidi ya zote E.A wanakunywa kahawa huku waki enjoy muonekano wa kisasa wajengo na kutizama bidhaa kwenye maduka ya kisasa then tuna wa peleka China, India, Thailand e.t.c. Sizani kama kuna mtu atataka apande Kq then akapitie kwenye terminal kuu kuu then apande ndege kuu kuu [emoji1]. Kama masikhara ila tuna enda kuwa na upper hand kwenye hili swala. Yajayo yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Shua yaani maendeleo ndicho kitu tunachokitaka....I'm so excited man nchi yangu nzuri sana Tanzania is moving forward speed of mwanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watapata tabu sana hatuna maneno mingi ni bakola tu kila kona.Huku wakijipanga kujibu pigo la terminal3, kitu cha msalato kinaendelea kujengwa
MotooooooHivi ni vitu vya kweli kabisa mapinduzi yakiuchumi ndiyo yashaanza sasa kila sector tunataka itawale Africa na dunia kwa ujumla....
So kwa suala la competition la hapa hapa east africa ndiyo tunajitoa mdogo mdogo tuwaache wajuaji wabaki na ujuaji wao ...kwenye mataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu walishaona hawamuwezi na hawaiwezi tanzania tenaKuna wapumbavu wa Nairobi walikuwa wanamkejeli JPM!