Mimi nipo kiti cha MbeleNangoja uzinduzi wa SGR mwaka huu!
I can see you are in so much need of knowing me , right?hahaha! I can give you another page you access for your information you will never know my really identity .upo?jamaa nimempiga za uso.. sasa kaamua kusepa mazima. Na alivyomuongo anasema anamiliki magari zaid ya mbili zaid ya mulissa lkn posts zake huko zinaonesha maisha yamempiga vibaya mno![]()
Watajibu vipi wakati hawakopesheki na makusanyo yao yanaishia kwenye mishahara na ufisadi!! Serikali inabidi iongeze speed kugawa National IDs, baadae patakua hapatoshi.Huku wakijipanga kujibu pigo la terminal3, kitu cha msalato kinaendelea kujengwa
wakenya wameanzisha movement ya kuzitaka media za kenya zicheze mziki wa kenya.
na hii ni moja ya ngoma wanayotaka ichezwe na media zao. ngoma inaitwa matako.
Watajibu vipi wakati hawakopesheki na makusanyo yao yanaishia kwenye mishahara na ufisadi!! Serikali inabidi iongeze speed kugawa National IDs, baadae patakua hapatoshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakenya wameanzisha movement ya kuzitaka media za kenya zicheze mziki wa kenya.
na hii ni moja ya ngoma wanayotaka ichezwe na media zao. ngoma inaitwa matako.
wakenya wameanzisha movement ya kuzitaka media za kenya zicheze mziki wa kenya.
na hii ni moja ya ngoma wanayotaka ichezwe na media zao. ngoma inaitwa matako.
nyingine hii hapa
wakenya wameanzisha movement ya kuzitaka media za kenya zicheze mziki wa kenya.
na hii ni moja ya ngoma wanayotaka ichezwe na media zao. ngoma inaitwa matako.



washikaji wana mambo ya ajabu kweli eti ngoma inatwaje.......

Hahaaa hawa jamaa wanavyozidi kukikataa Kiswahili ndivyo wanavyojizika kimuziki. Nmeona komenti zao hapo wanapiga Kiinglishi tuu utadhani Wazungu. Wakiongea Kiswahili kinakua kibaaaaaaaya kimechacha mnoo. Wakiimba kwa Kiswahili huwezi kuvutika kusikiliza kwa sababu ya ukakasi wa lugha mbovu isiyo na mvuto inayotumika. Yaani utadhani wanaimba Wasentinele. Cha kwanza ili waende sawa na Wabongo ki muziki wakitumie Kiswahili kindakindaki haswaaa ikibidi mwanamuziki mwenye kipaji aje aweke kambi Tz ya hata mwaka ajifunze Kiswahili chenye mvuto. Kuimba kwa Kiingereza hakuta watoa maana hata hiyo lugha siyo wabobezi kiviiile ili kutengeneza mistari ya kukubalika kidunia maana hiyo lugha ni ya daraja la juu la dunia na kuna ushindani mkubwa. Ili wawe juu kimuziki wanapaswa kuzungumza Kiswahili kizuri na wakienzi kuliko lugha yoyote ya mawasiliano ya kila siku kama Watanzanianyingine hii hapa
hata wakienda vyuoni wanawekeza mda wao katika kujua kuzungumza kingereza kuliko kuchota maarifa.Hahaaa hawa jamaa wanavyozidi kukikataa Kiswahili ndivyo wanavyojizika kimuziki. Nmeona komenti zao hapo wanapiga Kiinglishi tuu utadhani Wazungu. Wakiongea Kiswahili kinakua kibaaaaaaaya kimechacha mnoo. Wakiimba kwa Kiswahili huwezi kuvutika kusikiliza kwa sababu ya ukakasi wa lugha mbovu isiyo na mvuto inayotumika. Yaani utadhani wanaimba Wasentinele. Cha kwanza ili waende sawa na Wabongo ki muziki wakitumie Kiswahili kindakindaki haswaaa ikibidi mwanamuziki mwenye kipaji aje aweke kambi Tz ya hata mwaka ajifunze Kiswahili chenye mvuto. Kuimba kwa Kiingereza hakuta watoa maana hata hiyo lugha siyo wabobezi kiviiile ili kutengeneza mistari ya kukubalika kidunia maana hiyo lugha ni ya daraja la juu la dunia na kuna ushindani mkubwa. Ili wawe juu kimuziki wanapaswa kuzungumza Kiswahili kizuri na wakienzi kuliko lugha yoyote ya mawasiliano ya kila siku kama Watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
the squad... ooh my tanzania i love you so much.Captain AirTanzania
View attachment 992350