thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Magu alisema hataki captain mgeni.. ata mmoja. Vijana wengine wapo Ethiopia na Egypt wanakula training.Captain AirTanzania
View attachment 992350
Sent using Jamii Forums mobile app
Magu alisema hataki captain mgeni.. ata mmoja. Vijana wengine wapo Ethiopia na Egypt wanakula training.Captain AirTanzania
View attachment 992350
Bombadier q400 nyingine tena january 2020


Tetesi: Bombardier hio itakuwa ina capacity ya abiria nusu na mzigo nusu special Kwa route ya Comoro. Wa-Comoro wananunua mahitaji yao mengi sana Tanzania. Kuanzia nguo hadi vyakula.Bombadier q400 nyingine tena january 2020
Katika kujali zaidi Air Tanzania watakuwa na lounge yao wao wenyewe ndani ya TB3.Baba ameamua kuwapendelea... Washindwe wao tu.Kabla ya hapo Terminal 3 linazinduliwa. Then tuna wachota watu kutoka Bujumbura, Kampala, Harare na Lusaka wana ingia kwenye terminal kubwa zaidi ya zote E.A wanakunywa kahawa huku waki enjoy muonekano wa kisasa wajengo na kutizama bidhaa kwenye maduka ya kisasa then tuna wa peleka China, India, Thailand e.t.c. Sizani kama kuna mtu atataka apande Kq then akapitie kwenye terminal kuu kuu then apande ndege kuu kuu. Kama masikhara ila tuna enda kuwa na upper hand kwenye hili swala. Yajayo yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni Mzalendo wa Kweli....!!!Hio angle matata sana , duh nilichelewa nilikua nimebanwa huko mwisho 🤣
This is what I got from my location
These taken with a phone
View attachment 991871
View attachment 991872
This is Dodoma
View attachment 991874
View attachment 991875
View attachment 991876
And these taken with a Camera ,to be processed later.
View attachment 991879
View attachment 991880
Huyu ni Mzee Baba
View attachment 991881
View attachment 991882
Noma sana
View attachment 991883
View attachment 991884
View attachment 991885
View attachment 991886
View attachment 991887
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kabisa, yaani hakuna haja ya kujua unafata nini Moro ilimradi tu upate experience amabayo waafrika mashariki wengine hawanaHuu ndio mwaka wa kupanda treni ya umeme ,nitaenda Moro tu sitak kujua lengo la safari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Makenya shida tuu yanachojua ni kujisifia uongo hahahahMasikini wa Mungu
Ni kama ulikua kichwani mwangu mkuu, Ukiingia Room kwangu ukutani nimebandika Mambo 10 ambayo lazima nifanye mwaka 2019 na namba moja kati ya hayo ni kupanda treni yetu ya umeme kwenye ile safari yake ya kwanza kabisa ya Dar - Moro, Hata kama sina ishu yoyote huko moro lazima ntaenda tuu...Huu ndio mwaka wa kupanda treni ya umeme ,nitaenda Moro tu sitak kujua lengo la safari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kabisaKabisa, yaani hakuna haja ya kujua unafata nini Moro ilimradi tu upate experience amabayo waafrika mashariki wengine hawana
Ni kama ulikua kichwani mwangu mkuu, Ukiingia Room kwangu ukutani nimebandika Mambo 10 ambayo lazima nifanye mwaka 2019 na namba moja kati ya hayo ni kupanda treni yetu ya umeme kwenye ile safari yake ya kwanza kabisa ya Dar - Moro, Hata kama sina ishu yoyote huko moro lazima ntaenda tuu...
tupo wengi kumbe