Ndio boeing 787 dreamliner inaingia november mwaka huu na q400 mwakani
Ndege zetu hapa nchini. Airport imekuwa blue sasa
View attachment 991841
Hii ndio faida ya wasanii👏👏👇👇
Mziki kwao umekufa na sasa wamebaki kua wakora wamitaani hawana mbele wala nyuma😂😂😂😂😂wasanii wa kenya sijui huwa wanafanya nini, tatizo hiyo nchi ni ubinafsi sana
Hapo na bado maana Mzee magu anataka ndani ya miaka 10 au 20 tufikishe ndege hata 100Ndege zetu hapa nchini. Airport imekuwa blue sasa
View attachment 991841
Watoto wazuri aisee wanazidi kuongezeka tu kwenye kupata ajira walitupotea kabisa tulikuwa hatuwaoni kwenye dira kwasasa wamerudi kwa kishindo tena kwa wingi

.....sema .....Hujua majungu na kumshambulia Tuvawasanii wa kenya sijui huwa wanafanya nini, tatizo hiyo nchi ni ubinafsi sana