Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Madeni madeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ okoeni ndugu zetu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ loan is loan and law is law

RIP mombasa port

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wanavyoona kila siku tunaweka projects za billions of dollars hawaamini, wanajiuliza tunawezaje wakati wao mradi wa mwisho waoujua ni SGR ya kitapeli ambayo mitungi yake ni ya chang'aa

Sisi ndani ya wiki tumeweka miradi ya kufa mtu ukianza na stieglers, hii 12 lanes, bado kesho Salander, Kesho kutwa ni kupokea Airbus zetu na bado ratiba inaendelea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu baba Mungu ampe uhai tu maana hii misumari anayopigilia
 
Madeni madeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘ okoeni ndugu zetu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ loan is loan and law is law

RIP mombasa port

Na bado wanawakopesha $2 Billions kujenga bwawa la kutoa umeme 700MW. Baada ya kutuomba tuwakopeshe. Umaskini jeuri hauna maana
 
Janerose kama namuona vile:
shocked.jpeg
 
Kumbe wafadhili walitaka kutoa mkopo wa pesa ya 4 lanes! Walivyo sepa Magu na Tanroad wakabadili gia angani nakutoa kitu cha uhakika zaidi kwa kutumia pesa za ndani. Huyu Estim akimaliza huu mradi vizuri sito shangaa aki anza kushinda tender za kimataifa na fly over nyingine za hapa mjini itabidi apewe yeye kwa bei ya kawaida tu ila vitu vya uhakika kabisa.
 
PPF HQ, PSP zote, Viva Tower , NHC Seven eleven , NHC Morocco square na nyingine nyingi ni Estim Construction. Anatoa vitu matata sana .
 
Nasikia ata barabara za kuzunguka stand ya Makumbusho ni vizuri kwa taifa mkiwa na wakandarasi wakubwa ata bei ya ujenzi inakuwa siyo kubwa. Ata wa Morocco na ule uwanja wa Dom Magu awape kazi hawa Estim kwa sababu sioni kama Morocco wataweza kujenga uwanja kama nilivyo uona kwenye mchoro wakati kwao viwanja na wao ni tia maji tia maji.
 
SGR Progress Morogoro to Dodoma/ Makutopora...!! Je mnafahamu kuwa Makutopora ipo kwenye mpaka wa Singinda na Dodoma?? That means SGR phase 2 inaishia kwenye mpaka wa Dom na Singinda...!!πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Nasikia ata barabara za kuzunguka stand ya Makumbusho ni vizuri kwa taifa mkiwa na wakandarasi wakubwa ata bei ya ujenzi inakuwa siyo kubwa. Ata wa Morocco na ule uwanja wa Dom Magu awape kazi hawa Estim kwa sababu sioni kama Morocco wataweza kujenga uwanja kama nilivyo uona kwenye mchoro wakati kwao viwanja na wao ni tia maji tia maji.
Morocco ndoanatoa pesa alafu umpangie tena mashariti..!!
 
Back
Top Bottom