Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu nimegundua wengi wao hawajui watz,tuna maisha ndani ya jamii forums yote,tofauti na kenyan forum.kote tunaweza ishi.ila wao kila wanapoenda ni wageni hawajui hata malengo ya eneo walipo.

Mtu yuko Ugandan forum anatukana watz.
Wako forum gani ??? 😂😂😂
 


Wakenya wanafuatilia kimyakimya huku mioyo ikiuma
tizama.jpeg
 
Back
Top Bottom