Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i remember last three years sauti sol was on fire.. their schedule was tighten with a lot of music shows in europe and america.ilikuwa si jambo rahisi kuwapata sauti saut sol waje watuimbuze tz katika kipindi kama hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

ila sasa game yao imeisha na maisha ni magumu kenya so imebidi waje wa perform dar es salaam ili wapate pesa ya kula... bora uhai

somewhere in dar es salaam.

View attachment 971655View attachment 971656View attachment 971657View attachment 971658
INGEKUA KENYA MTU ANGEIBIWA VIATU JUKWAANI
 
Uzi umekua mtamu sana.. hamna habari za kuchanganyana za Nairobi ndogo ila Nairobi metropolitan ni kubwa , wale jamaa unaeza soma maandishi yao ukaishia pharmacy
ndio maana nafurahia sana wakenya walivyosusa ku-comment.

comment zao zilikuwa zina mislead thread.

kwa sasa watanzania wote tunaoshiriki katika thread hii tuna utulivu sana.

kususa kwao kumetuongezea ari ya uzalendo na umoja baina yetu.

kumetufanya watz tu-deal na main issues badala ya issues za personalities.
 
kumetufanya watz tuna deal na main issues badala ya issues za personalities.
Kweli mkuu, kwakua tittle ni ile ile na walisha jaribu kupambana kuondoka kwao nikukubali kushindwa.. kwakua tunayo ya post yatabaki milele hii itabaki kuwa kithibitisho kuwa Nai haiwezani kwa Dar. Sasa twende mosi mosi picha za Dar na kwa mbali tutatupia za Korogocho na Kibera
 
😂😂😂😂 Wakenya wamefanya kweli maamuzi ya kukurupuka, wameamua kuondoka hapa bila calculations za what's the alternative destination kwao matokeo yake wamekua kama mbwa koko wasio na mwenyewe wanarandaranda tu huko majalalani

Mmoja wao nimekutana nae kule kwenye jukwaa la utambulisho la new members anauliza swali na kujijibu mwenyewe maskini nilimuonea huruma sana wapo scattered kama sisimizi walioingiliwa msafara wao
 
ndio maana nafurahia sana wakenya walivyosusa ku-comment.

comment zao zilikuwa zina mislead thread.

kwa sasa watanzania wote tunaoshiriki katika thread hii tuna utulivu sana.

kususa kwao kumetuongezea ari ya uzalendo na umoja baina yetu.

kumetufanya watz tu-deal na main issues badala ya issues za personalities.

Sure, hawa jamaa walikua wanatuletea takwimu na picha za uongo na wanashupaa kwelikweli. Walichokua wananiudhi zaidi ni pale wanaposhindwa kusoma picha na wanaikomalia mpaka saa zingine unaaza kuhisi utakua mjinga kama wao ukiendelea kubishana nao. wakipewa takwimu kuwa wako vizuri wanajifariji ilhali majirani zao wote wanajua ujinga wao.

Yaani sasaivi kila tunachopost ni facts za kueleweka, na hata ukienda kwenye thread zao huwezi kukosa uongo na ujinga
 
DD385229-6217-4F22-8C5E-B29932416437.jpeg

Kitu nimegundua wengi wao hawajui watz,tuna maisha ndani ya jamii forums yote,tofauti na kenyan forum.kote tunaweza ishi.ila wao kila wanapoenda ni wageni hawajui hata malengo ya eneo walipo.

Mtu yuko Ugandan forum anatukana watz.
 
Kweli mkuu, kwakua tittle ni ile ile na walisha jaribu kupambana kuondoka kwao nikukubali kushindwa.. kwakua tunayo ya post yatabaki milele hii itabaki kuwa kithibitisho kuwa Nai haiwezani kwa Dar. Sasa twende mosi mosi picha za Dar na kwa mbali tutatupia za Korogocho na Kibera
Kweli kabisa 100%, ukiingia kwenye paper halafu kila swali unalogusa linakua gumu ni lazima uwe wa kwanza kutoka. Au ni kama vile bondia aliekimbia ulingoni baada ya kuchezea ngumi za kutosha, haina haja ya kujitetea umekimbia pambano coz umechezea kichapo heavy
 
Back
Top Bottom