Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tutaelewana tu.

wakenya siku zote wamekuwa wanajisifia kwa uwezo wao wa kuzungumza kingereza.

mara kadhaa nimekuwa nasema, kingereza ni lugha ya kimataifa, mzungumzaji yafaa aishi maisha yenye standard za kimataifa.

sio unajisifu kuzungumza kingereza ilhali huna ajira, unakaa katika makazi duni ya kibera na mathare na maisha yako kwa ujumla ni ya kuonewa huruma.

kwa tangazo hili la ajira, kuna wakenya wanajuta kuzaliwa wakenya. maana wengi hawana ajira.[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_20181218_131523.jpeg
Screenshot_2018-12-18-13-14-51-165_com.twitter.android.jpeg
 
hivi wamekimbia kwa sababu ile video ya pikipikim iliyokatiza mabibo? sasa kama kuna mtu kakatiza hivyo kwenye huo mtaa waohapo juu wenye mabeseni nje ndio ana conclude pako hivyo pote na kusurrender? what kind of assessment is that? sema tu labda hawana udole tena wa kujibu shambulizi IMO
Mnataka kuwapora ufalme wao?. Picha waliyonayo juu ya Tanzania ni mbaya sana, hawaamini wanachoshuhudia.
 
tutaelewana tu.

wakenya siku zote wamekuwa wanajisifia kwa uwezo wao wa kuzungumza kingereza.

mara kadhaa nimekuwa nasema, kingereza ni lugha ya kimataifa, mzungumzaji yafaa aishi maisha yenye standard za kimataifa.

sio unajisifu kuzungumza kingereza ilhali huna ajira, unakaa katika makazi duni ya kibera na mathare na maisha yako kwa ujumla ni ya kuonewa huruma.

kwa tangazo hili la ajira, kuna wakenya wanajuta kuzaliwa wakenya. maana wengi hawana ajira.[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 971164View attachment 971165
4880km hii hadi iishe awamu zote itachukua mda sana. ..BTW Ni kitu poa sana
 
Back
Top Bottom